Gavana BoT awatoa hofu wananchi



 
Gavana aliyemaliza muda wake, Profesa Benno Ndullu na Gavana mpya, Profesa Florens Luoga
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Professa Florens Luoga amewatoa hofu wananchi ambao walikuwa na akaunti katika benki zilizofungwa na kuwaeleza kwamba fedha zao ziko salama na ufungwaji wa benki hizo ni sehemu ya ulinzi wa amana zao.
Hayo ameyasema alipokuwa katika hafla ya kukaribishwa na Taasisi za kibenki huku akiagwa aliyekuwa Gavana BOT,  Professa  Benno Ndulu.
Kwa upande wake Gavana mstaafu wa BOT,  Professa Benno Ndulu alijivunia kuwa katika uongozi wake hapakuwepo na  mfumuko wa bei, huku akiwa hana wasiwasi na aliye muachia nafasi hiyo.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: