CHOMBEZO; HEHEEE, KANTANGAZEEE!!! SEHEMU YA 23




Njasi anasogea apime lakini ninamuona anabadilika uso wake, mapigo ya moyo yanamuenda mbio kama mshale unaosababisha sekunde! Jesca anamtoboa na kukinga damu yake katika kile kifaa, kisha kama ilivyokuwa kwangu sote tunatazama kipimo hiki kwa makini. Mara baada yakusomwa kwa kipimo macho yetu yanashuhudia kipimo kile kikileta majibu, Ninamtazama Njasi usoni, ninamuona machozi yanamtoka!!!

15

Analia siyo kwa furaha hata kidogo bali majibu yake, yametoa alama au mistari miwili kuonesha damu yake inamaambukizi ya VVU.
Jesca anamtazama usoni shoga yake kwa masikitiko.
“Njasi Katangazee sasa kuwa umeathirika, wewe si hodari wakutangaza wenzako?”
Ninamwambia maneno hayo kwa kedi bila kumhurumia kwa chochote kwani Mungu amemungaaza na mie ninamueleleza!
“Dobe usiseme hivyo yaliyompata Kibeku na ungo yatamfika, kama umefanya Sexy na Njasi, basi amini muda huu ni wa mpito tu, usimcheke muathirika kwani huwezi kujua baada ya miezi mitatu na wewe utakuwa katika hali gani!”
Jesca ananambia maneno ya kuonya ila hajui namna mwanamke huyu alivyonidhalilisha akasababisha nikatembea na upande wa Khanga ya kiuno.
“Hata kama nitaonekana hivyo potelea mbali, lakini sasa sina! Huyo shoga yako amefikia kusema kuwa niogopwe kama Ukoma! VVU hakuumbiwa mwanamke wala mwanamme, hakuumbiwa mtoto wala mtu mzima, mbona alikuwa ananitangaza hata alipokuwa hana majibu ya kipimo cha damu yangu, lakini alikuwa akinituhumu kuwa nimeathirika, sasa imekuwa kinyume chake. Adhaniwae ndiye, kumbe siye, hii itakuwa fundisho kwa jamii nzima.”
Ninasema maneno hayo huku sasa haja ikiwa imekata kabisa, yaani nina furaha hapa kupindukia.
“Jesca pima na wewe tujue afya yako sie umeshatujua tayari, pima na wewe tukatangazane.”
Ninamwambia maneno hayo huku nikiwa sitanii kabisa. Jesca ananitazama kisha ananambia.
“Mie sina tatizo na kupima ninautaratibu wa kupima kila mwezi, nitapima mbele yenu nanyi mshuhudie.”
Baada yakusema hayo anachukua kifaa maalum cha kutobolea anakifungua kutoka katika plastic lake anajitoboa, kisha anachukua kifaa cha kupimia anakinga damu yake matone kadhaa, anasubiri majibu ya kipimo. tunakitazama kipimo. Njasi anakitazama kipimo akiwa macho yake yamemjaa machozi. Kipimo kinatoa majibu mstari mmoja tu mwekundu unatokezea juu ya kipimo kile kuonesha kwamba damu iliyopimwa haijapatwa na maambukizi.
“Mie nina bahati mbaya, jamani yaani Dobe awe mzima kisha mie nimeathirika?”
Njasi anasema maneno hayo huku akilia na mie tu.
“Kwa hiyo ulikuwa ukinambia mie nimeathirika kwa vile wewe umetembea na mie na ulijitambua kuwa ushaumia?”
Ninamtolea maneno ya kejeli, kwani amenikera kupita kiasi.
“Njasi kama lililokuleta kwangu ni kunambia Dobe ameathirika, imekuwa kinyume chake shost, je una lolote lingine au?!”
Jesca anamgeukia Njasi anamfahamisha maneno hayo huku, akimtazama usoni.
“Hapana shoga yangu, nimekuja na mengine ila kwa sasa yote yamenishia nakwenda zangu.”
“Nenda tu Njasi, huna jipya na fitina zako.”
Ninamjibu kisha anageuza sura yake ananitazama.
“Kantangazee!!!”
Ninamwambia huku nimemkazia macho.
“Dobe sipendi unavyofanya mambo ya visasi namna hivyo hebu badilika.”
Jesca ananambia, lakini hanibadilishi mawazo yangu. Njasi anaaga na kutoka nje ya nyumba ya shoga yake. Jesca anamsindikiza kisha anarudi na kunikabili.
“Dobe sijapenda ulivyokuwa ukimuangaaza shoga yangu hata kidogo!”
“Ahaa ila yeye alivyonieleleza wewe umefurahi si ndiyo?!”
Ninamjibu huku nikiwa nimechukia sana. Mie nimetembezwa na upande wa Khanga yeye aliona vizuri?
“Ok nimekuelewa naomba niende home mara moja kuna jambo la muhimu sana nikafate.”
Ninamwambia Jesca ili nisepe zangu mbele kwani mambo ya kunyonyeshana Nembe Dume mtoto wa kiume siyo mazuri.
Mahaba ya SHEMALE pamoja na ya shoga wa kiume, ukikwambia umnonye kinembe chake, tambua unakula Mkuyati yabisi! Ukiweza kula hiyo kitu yaani ndiyo unamnyonya hapo. Mie mmmh swaga hizo siziwezi pamoja na ubalamaki wangu wote.
“Sasa utakwendaje na nguo zako nimeziroweka?”
“Nitafutie hata bukta nitavaa na fulana zako hamna neno.”
Ninamjibu na yeye ananambia.
“Bahati mbaya bukta, suruali na fulana zangu zote zipo kwa dobi. Vinginevyo wende na Khanga tu.”
Majibu hayo yananinyima amani kabisa. Ninaamua kutoka na Khanga kwani sina amani na mahali hapa kabisa. Jesca anadhani ninatania, kwamba sitoweza kuondoka na khanga lakini ninatoka kweli chumbani na nyumbani kwake, ninatembea nikiiacha nyumba yake. Ninakata mitaa hadi kwa madereva wa Bodaboda. Wanaponitazama wote wananishangaa sana, lakini mie ninauchuna kama nimevaa suti vile kumbe nina upande wa Khanga tu.
“Ndugu yangu naomba unistiri, nguo zangu zimetiwa kwenye maji na mpenzi wangu na mie ninatakiwa kufika nyumbani kwangu, hivyo nimeamua kutoka hivi nilivyo. Naomba unipeleke nyumbani kwangu Segerea nitakupa pesa yako tukifika nyumbani.”
Dereva wa bodaboda ananithaminisha kutoka juu hadi chini, kisha anajishauri sana hatimae, anapanda chombo chake kuonesha amekubaliana nami.
Ninapanda nyuma ya piki piki yake, safari ya Segerea inaanza. Ninaumiza kichwa matukio yanayonitokea yameharibu kabisa maisha yangu. Dereva wa bodaboda anakatisha mitaa anacheza pembeni mwa barabara mara katikati ya barabara, hatimae tunafika nyumbani kwangu. Katika ajabu ninayoiona nyumba mlango ninaukuta upo wazi. Lakini hakuna dalili ya mtu ndani ya nyumba! Ninamwambia dereva wa Bodaboda anisubiri ili niingie ndani nimpe pesa yake, ananisubiri usawa wa mlango huku akinitumbulia macho.
Ninaingia ndani kimya kimya hadi katika mlango wa chumbani kwangu, nao ninaukuta pia upo wazi! Moyo unanienda mbio, ninatia shaka huenda tushaibiwa tayari!
Ninaingia taratibu hadi chumbani kwangu, hamadi nakiona kitu siyo cha kawaida! Ninaliona kawa limefunikwa katika sinia ikiwa juu ya stuli! Ninashangaa sana. Ninashindwa kustahamili ninaamua naiendea Stuli na nalishika kawa kwa kitetemeshi cha mikono, ninalifunua taratibu hamadi macho yangu yanapatwa na ganzi na makengeza makuu! Ninalifunika haraka sana, huku ninashika mkono wangu katika moyo wangu, kwani mapigo ya moyo yamenilipuka sana. Mara ninagutuliwa na milio ya honi ya Bodaboda. Ninafunika tena Kawa vizuri mahala pake, ninakwenda nilipoiweka pesa yangu aliyonitunza hayati Mwanamtama, ninaichukua pesa ninatoka nje ninampa dereva wa bodaboda, ninamshukuru nae anashukuru kwa uaminifu wangu kisha anaondoka zake.
Ninarudi ndani lakini ninapitiliza hadi uani kuona kama nitamuona mtu alieufungua mlango na kuweka mambo yale katika sinia kisha akafunika na kawa tena chumbani kwangu. Ninafika uani ninaangalia uwa wote lakini sioni mtu, ninakwenda chooni kutazama kama kuna mtu napo pia nakuta hola! Ninarudi na kugonga chumba cha hayati Baby Girl Mwanamtama, labda ameingia katika chumba hicho, ninagonga sana lakini sipati majibu, wala hakuna mtu anaeniitikia gonga yangu. Mlango umefungwa kwa funguo hakuna dalili za kuwa ameingia mtu chumbani humo.
Jasho linanitoka sana, moyo unanienda mbio kama saa mbovu. Nani sasa alieufungua mlango mkubwa pamoja na wa chumbani kwangu, kisha aniwekee mambo yale chumbani kwangu? Lakini kama haitoshi awezaje ende zake auache mlango wazi?! Akili yangu inakataa kufanya kazi sawasawa juu ya kadhia hiyo, ninahisi labda huyo mtu aliefanya haya atakuwa amekwenda dukani, ninakaa sebuleni kwa muda mrefu kumsubiri lakini hakuna mtu yeyote anaekuja ndani humu. Ninapata shaka labda mapepo ndiyo yananifanyia mchezo huu, lakini sitaki kuamini sana mambo hayo. Ninarudi chumbani ili nikaone kama sinia nitalikuta tena pamoja na mambo niliyoyaona katika sinia. Ninaingia chumbani ninalikuta kawa lipo ninalitazama. Ninapiga hatua hadi katika stuli iliyobeba sinia iliyofunikwa na kawa, ninalifunua tena kwa mara nyingine kawa, kuhakikisha nilichokiona awali nitakikuta tena au nitaona mauzauza mengine? Ninapotazama katika sinia ninaona kile nilichokiona awali ndicho kilichomo ndani yake! Macho yananitoka pima ninatazama kwa makini, naanza kuingiwa na wasiwasi. Wasiwasi unaonipata ni kwa haya niyaonayo, ninaona kama vile yana mkono wa Hayati Baby Girl Mwanamtama! Naam nawaza hivyo kwani sijapatapo kuona kitu kama hicho kwa mwanamke yeyote tangu nimeanza matentelee zaidi yake.
Ndani ya sinia kuna chakula kimewekwa. Ni ndizi zilizopikwa kwa nazi shatashata, na nyama ya kusaga ikiwa imetupiwa juu yake! Hii nyama ya kusaga imetupiwa kwa mpango maalum, kiasi imechoreshwa neno DOBE kwa herufi kubwa, kisha chini kumepambwa na maneno yaliyoandikwa kwa herufi ndogo, welcome. Ninatafakari nani ananifanyia haya ananitia uchungu mie, kwani kwa baby mbali yakupata mapenzi mazito, lakini pia nilikuwa nasoma maada, vihendo na mizungu mingi sana. Ninahisi labda ninaota au labda jinamizi la mapenzi linanitokea kwa kumpenda kwangu kulikopindukia Baby girl. Ninatizama huku na huko lakini sipati kitu chengine cha maana. Ninafikiri mara mbili ninaamua kwenda kunawa mikono, bila hata kubadili nguo, tena bila woga, ninakusudia kula kwani chakula kimewekwa chumbani kwangu, basi mie ndiye mlengwa! Ninaamini labda nimetangazwa kwa ndugu na jamaa wa Mwanamtama, hivyo ameamua kunirithi labda. Ninapiga msosi mtamu hadi ninapopata kula pahala penye lost palipoandikwa jina langu ndipo ninapokutana na kitu, kinachonirusha roho yangu Sarakasi ya shufani kwa fadhaa!!! Haaaaaah!
Mapigo ya moyo yameongeza kasi yake mara dufu. Nini hiki jamani mbona hivi?! Karatasi ipo ndani ya Nyloni nyeusi, imewekwa kwa kukusudiwa, kwani imetiwa humo ili isirowane na chakula.
Natafakari kwa muda, hatimae naichukua ninaitazama kwa makini, moyo wangu unanituma niifungue nione hiyo karatasi inayoonekana kwa shida humo ndani, ili nitambue ina nini.
Ninaifungua taratibu ninaiachanisha na mfuko na ninaiona kwa uwazi. Laahaula moyo wangu ninauhisi kusimamisha mapigo yake! Siamini macho yangu kwa mara nyingine. Ninahisi nipo ndotoni na si kweli hiki nilichokuwa nacho mkononi mwangu.
Ninayafikicha macho yangu kwa mkono wangu wa kushoto, ninatizama tena na tena lakini siipati tofauti.
“Mungu wangu, mungu wangu nini hii tena?”
Najikuta nayatamka maneno hayo, nikiwa nimechanganyikiwa sana.
Ninaigeuza nyuma, nakutana na kitu kingine kinachoyavuta macho yangu, nakunifanya niyakodoe pima kama fundi saa, aliepoteza nati. Ninajikaza kiume ili nisipoteze fahamu kwani akili imezidiwa na mawazo ya vitu ninavyokutana navyo. Sijawahi katika maisha yangu yote,kuona ndani ya chakula nawekewa picha! Ndiyo picha tena ya mtu alieniingiza katika ulimwengu wa mahaba, ambao hakika ni mpya kwangu pamoja na Matentelee yangu yote. Baby Girl atabakia kuwa ni fundi kwangu asie na mpinzani, katika kuogelea bahari ya mahaba. Mwanamtama ni Profesa wa mapenzi..
Picha niionayo ni ya kwake, najiuliza nani ameiweka katika chakula hiki?! Nikiwa bado ninastaajabu kuwekewa picha, nyuma ya picha hiyo kumeandikwa maneno, yanayonitatiza zaidi ya sana.
HAYA DOBE YUPO NDOTONI, AU KATIKA UHALISIA WAKE?! USIKOSE KUSOMA DUDE HILI HABARI YA MJINI KESHO KATIKA MUDA WAK




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: