MAGEREZA FC WAANZA VYEMA LIGI YA WILAYA LUDEWA

MAGEREZA FC WAANZA VYEMA LIGI YA WILAYA LUDEWA

Na barnabas njenjema
Ligi ya wilaya ludewa imeanza kutimua vumbi leo katika viwanja viwili tofauti

Mchezo wa kwanza ulikuwa katika uwanja wa ludewa mjin ambapo wajera jera maafande wa mageleza ludewa waliwakaribisha kurugenzi fc ya ludewa.

Katika mchezo huo uliokuwa piga ni kupige hatimae magereza fc waliandika goli la Kwanza katika kipindi cha kwanza  mnamo dakika ya...27.. Kupitia kwa henry

Had kipindi cha kwanza kinamalizika mageleza fc 1 kurugenzi 0

Kipindi cha pili kila timu ilifanya mabadiliko hata ivyo mabadikiko hayo yawafaidisha zaid magereza na kuandika goli la pili kupitia kwa tony mnamo dakika ya.28

Mchezo mwingine umepigwa nje ya MJI wa Ludewa katika kijiji cha luana Kwa mtanange Kati ya Luana FC na mbwila katika mchezo huo uliomalizika Kwa luana FC kuibuka na ushindi kidusu wa goli moja Kwa sifuri....

Ligi hiyo ya wilaya ya Ludewa inatarajiwa kuendelea tena kesho Kwa michezo miwili katika viwanja tofauti.

Katika uwanja wa Ludewa mjin watoto wa mjini timu ya wananchi ludewa rengers kutoka mkondach wao watawakalibisha ibumi FC kutoka ibumi pp

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: