LIG YA WILAYA LUDEWA KUANZA KUTIMUA VUMBI

LIGI YA WILAYA LUDEWA KUANZA KUTIMUA VUMBI.

Na  Barnabas njenjema
Simu 0755666795

Kivumbi cha ligi ya wilaya ya ludewa daraja La 4 kinatarajiwa kuanza kutimua vumbi leo tar 31.5.2017 katika viwanja viwili tofauti.

Mtanange wa kwanza utakuwa katika uwanja wa Ludewa mjin kati ya timu ya kurugenz itayoikalibisha wagonga virungu Magereza ya ludewa.

Na mtanange wa pili utapigwa nje kidogo ya mji wa ludewa huko katika viwanja vya Luana hapo Luana fc wao watawakaribisha ndugu zao mbwila katika mchezo ambao utakuwa piga ni kupige kutokana na timu izo kufamihana Kwa kila idara..

Naye mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu wilaya ya ludewa Ndugu Jaromee Bange amesema kuwa Maandalizi ya michezo hiyo miwili yamekamili Kwa asilimia 100 huku akinabaisha mgen rasmi katika uwanja wa ludewa mjin atakuwa ni ndugu thobias lingalala ambaye ni mjumbe wa tff.

Pia amewataka wanaludewa kujitokeza kuhuzuria michezo hiyo pasipo kuwa na vurugu wala ugomvi Kwa mashabik pamoja na wachezaj.

Ligi hiyo pia inatarajiwa kuendelea kesho katika uwanja wa Ludewa mjin watoto wa mjin ludewa rengers wao wanawakaribisha ibumi FC na huko luana maafande wa polis Ludewa polis fc wao watawakaribisha vijana stars kutoka ludewa Kijijin

Ligi hii imegawanywa katika makundi 2 ambao kundi A lililopo ludewa mjin kuna timu za magereza, kurugenzi ludewa rengers, ibumi, Ludende .

Kundi B. Lililoppo Luana kuna timu za luana fc, mbwila, polis FC, vijana stars

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: