UONGOZI WA MPIRA NJOMBE WATARAJIA KUFANYA ZIARA WILAYANI LUDEWA

Leo tar 10.7.2017 wilaya ya ludewa itatembelewa na viongozi wa chama cha mpira mkoa wa njombe ( njorefa )

Msafara huo unatarajiwa kuongozwa na mwenyekiti cha njorefa yono mkevela ambapo ujumbe huo unatarajiwa kukagua shughuli za kimichezo katika wilaya ya ludewa pamoja na maendeleo ya michezo.

Mbali na shughuli izo pia watapata nafasi ya kuangalia mechi ya kufunga ligi ya wilaya kati ya magereza fc dhidi ya kurugenzi katika uwanja wa ludewa mjin.

Ukiwa kama mdau wa michezo wilaya ya ludewa una maoni gani juu ya uongozi huu wa mkoa katika wilaya yetu

Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: