REVIEW OF LIFE.( Where are we from? where are we now, and where are we going?


Mwanadamu anapitia katika vipindi vikuu vitatu vya muhimu katika maisha yao hapa duniani, Kipindi cha kwanza kinaanzia kwa kuzaliwa na maisha ya utoto hadi pale anapoanza kujitambua kuwa yeye ni nani. Kipindi hiki cha pili ambacho mara nyingi tunasema kuwa ni kipindi cha utoto.Kipindi cha pili ni juu ya maisha yako tangu kuzaliwa hadi mwisho wa siku ya mwisho unapoondoka hapa duniani. nasema tangu kuzaliwa maana kwa kifupi kipindi hiki ni juu ya maisha yako yote duniani. na kipindi cha tatu ni kile ambacho unaiaga dunia rasmi na unaondoka katika uso wa dunia (KIFO). hivi ndivyo vipindi vitatu muhimu katika maisha ya binadamu yeyotiaishe aye chini ya anga hili lililobeba mwanga mkali wa jua au tuseme yeyote aishiye chini ya jua lazima ajue kuwa kama amezaliwa na kuvuta pumzi ya mwenyezi MUNGU lazima pia ajue kuwa ipo siku atarudi kule ambapo mwanzo alitoka Baadhi ya maandiko matakatifu yanasema kuwa mwanadamu ni mavumbi na mavumbini atarudi.inawezekana kabisa kuwa sisi kwa vile ni mavumbi basi mavumbini tunarudi kweli, kwa wale ambao hawaamiinikweli kwao ni kitendawili kikubwa sana juu ya wapi sahihi ambapo mwanadamu anaenda lakini hakuna wa kutoa jibu la swali hilo. tuyaache maana sio lengo kuu la kuzungumzia juu ya mada hiyo siku ya leo labda siku nyingine. Tuendelee................ itaendeleA....


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: