MKURUNZI MSHAULI WA BEST FM LUDEWA APUMZISHWA KATIKA NYUMBA YA MILELE

mkulugenzi mtendaji wa redio bestfm ludewa kushoto  Dr Primus Nkwera akiwa na baba yake mzee
Hilary Nkwera
Ludewa,
Hatimaye mwili wa  Aliyekuwa Mkurugenz Mshauli wa redio best fm ya wilayani  Ludewa Bi. Pelagia Nkwera aliyefariki usiku wa September 21 mwaka huu katika Hospital ya mt. Joseph Huko Mbweni Jijini Dar es laam Umehifadhiwa leo katika viwanja vya makaburi Ludewa Mjini.

Misa ya mwisho ya kumuaga na kumuombea marehemu Pelagia Nkwera ilifanyika katika Kanisa Roman Catholic Ludewa mjini ambapo misa hiyo takatifu imeongozwa na Padre Dominic Mlowe akisaidiwa na Padre Ditram Mwinuka kwapamoja wametumia msiba huo wa marehemu Pelegia Kutoa maagizo kwa waumini wote nchini Kuishi maisha ya kumpendeza mungu
.
Misa hiyo ya kumuaga Marehemu Pelagia Imehudhuriwa na waumini wa madhehebu mbalimbali yaliyopo ndani na nje ya Ludewa ikiwemo waumini kutoka Dar es alaam, Iringa na Njombe Pamoja na wamiliki wa vyuo mbalimbali vya Binafsi na Serikali ambao nao wameonesha kusikitishwa na Msiba huo.

Marehemu Pelagia enzi za uhai wake alikuwa mkurugenzi mshauli wa Kituo cha REDIO Best fm kilichopo LUDEWA MJINI mkoa wa Njombe ambapo Mkurugenz Mkuu  wa kituo hicho Dr. Primus Nkwera ambaye ni Mtoto Mkubwa wa Marehemu Pelegia Nkwera ambaye licha yaKufiwa na mama yake mzazi alionesha kuvaa ujasiri na kusimamia Msiba huo mkubwa kwake.

Marehemu Pelagia Nkwera Alizaliwa October 08 mwaka 1949 na kushika nafasi mbalimbali za uongozi enzi za uhai wake hasa katika Sekta ya elimu kwakuwa alikuwa mwalimu wa kawaida kwa shule mbalimbali za msingi kisha akateuliwa kuwa mwalimu mkuu na Mratibu elimu kata Amefariki September 21 mwaka 2016 katika Hospital ya Mt. Joseph Dar es slaam Kutokana na Tatizo la kansa lililokuwa likimsumbua kwa muda mrefu hadi kifo.


Wafanya kazi wa best fm ludewa pamoja na wakazi wa ludewa wame pokea msiba huo kwa masikitiko makubwa.kufuatia sifa mbalimbali za














Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: