MAKARIO MAKUBWA MARUFUKU


Serikali ya Burkina Faso imepiga marufu shindano ya kila mwaka kwa wanawake wene makalio makubwa kwa maelezo kuwa shindano hilo halina maadili na linaleta ubaguzi katika jamii.
Tangazo la shindano hilo maarufu kama “Miss Bim-Bim” lililoonyesha wanawake wawili wenye makalio makubwa sana, lilizungua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii nchini humo.
Baada ya watu kukosoa tamasha hilo, Waziri mwenye dhamana, Laure Zongo alisema kazi ya serikali ni kuhakikisha kuwa mwanamke hanyanyaswi na kuwa maoni ya watu kwenye mitandao ya kijamii imemsukuma kuzungumzia tukio hilo.
Mtayarishaji wa mashindani hayo, Hamado Doambahe alisema kuwa walikuwa na lengo la kusifia umbo zuri la mwanamke wa ki-Afrika na wala sio kulenga kufanya jambo lolote baya.
Mashindano ya namna hii yamekuwa yakifanyika katika nchi nyingine Magharibi mwa Afrika na kuwa wanawake wamekuwa na mitazamo tofauti juu ya mashindano haya


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: