LIGI KUU BARA:MICHEZO MIWILI KUPIGWA LEO DAR NA SHINYANGA


Dar Es Salaam,Tanzania.
MZUNGUKO wa tano wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) inatarajiwa kuendelea tena leo Jumapili Septemba 18,2016 kwa michezo miwili kuchezwa katika miji ya Shinganya na Dar Es Salaam.
Shinyanga:Stand United watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani wa CCM Kambarage kuwaalika Maafande wa JTK Ruvu kutoka mkoani Pwani.
Dar Es Salaam:Wageni katika ligi hiyo Afrikan Lyon watakuwa katika uwanja wa Uhuru kupepetana na Toto Africans ya mkoani Mwanza.
Michezo yote miwili itaanza saa 10:00 jioni.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: