Aliposhindwa kwenye mashindano ya London, 2012, Michael Phelps hakukata tamaa, anarejea Rio, na kutwaa medali ya 21, ya dhahabu mtindo wa kipepeo.
Muogeleaji wa Marekani,Michael Phelps, ameweka rekodi ya kushinda medali ya dhahabu ya 21, kwenye mashindano ya Olimpiki, huko Rio, Brazil usiku wa kuamkia leo.
Akiwa na umri wa miaka 31, Phelps, amepata medali hiyo kwa kumshinda bingwa mtetezi Chad le Clos, katika mita 200 mtindo wa kipepeo, kabla ya kuisaidia Marekani kushinda mita 4x200, mtindo huru.
"Hizo ni medali nyingi," alisema Phelps
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment