Ranieri ajifunga Leicester City hadi 2020



Akiwa ndiyo, kwanza ana msimu mmoja, Claudio Ranieri anaiongoza Leicester City, kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza, na uongozi unagutuka pale wanapomuongezea mkataba wa kumweka hadi mwaka 2020.
Kocha wa Leicester City, Claudio Ranieri amesaini mkataba mpya wa miaka 4, ambao unamfunga kwa mabingwa hao wa Uingereza hadi juni 2020.
Muitaliano huyo anakubali dili hilo, kabla ya Leicester kuanza kutetea taji la ligi kuu ya soka nchini Uingereza, dhidi ya Hull City, Agost 13 mwaka huu.
Ranieri amesema tangu zamani alikuwa na malengo ya kukaa muda mrefu na Mbweha hao, ili kufanikisha malengo ya klabu hiyo


Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: