MADA YA LEO NI MAANDALIZI YA MKE KWA MUME.



WALENGWA NI MWANAMKE.

A/aleykum.
Ni matumaini yangu mmeamka salama, wadau wa ukurasa huu. Leo tena nimeamua kuirudia Mada ya MAANDALIZI, ingawa leo nitaizungumza katika upande wa pili! Leo nitaogelea katika bahari ya Maandalizi ya Mwanamke kumfanyia Mwanaume, kadiri Mungu atakavyoniwezesha.
Baada ya jana, kugusa umuhimu wa maandalizi kwa wote, leo nakuja tena na maandalizi Ila leo yatakuwa kwa Wanawake kuwafanyia Wanaume zao.
Mwanamke unatakiwa uwe mbunifu katika nyumba yako, wewe unapokuwa au kurudi nyumbani, hakikisha Bwana/Mume akirudi akukute upo safi na upo tayari kwa mchezo, Ufanye uradi wako kumsinga bwana, kwani singo huamsha hisia sana za mapenzi, kwani misuli ikisuguliwa damu hutembea kwa kasi kubwa na kuifanya itume haraka mawasiliano katika ubongo na katika uume! Pia harufu ya Msio itamburudisha bwana/mume sana. Ukifanya hivyo itamfanya Mwanamme ahemkwe na uchu umuingie atake kufanya tendo la ndoa.
Yaani Mwanamke unapotoka kuoga usiku na mapema, tafadhali jipodoe uwezavyo kama unataka kwenda harusini au katika shughuli pambe, kisha vaa nguo nyepesi kama kanga moja au Night dress inayoonesha hadi ndani! Wakati huo usivae chupi kabisa, Hakikisha shanga au cheni zako kutegemea na uwezo wa mtu, zisikosekane kiunoni, kwani kiuno kisishovaliwa shanga, au cheni huwa hakivutii kukishika! Pia hakikisha chumba chako kiwe safi kimetandikwa shuka ya gharama, chumba kinanukia uturi, mtoto wa kike ushakula vitu vyako macho yasharembuka kabla bwana hajaingia home, Yaani upo jicho nyanya!
Amini akija akikukuta hivyo hakuachi asilani abadani. Atataka mambo umpe hata kama amechoka!
Kwani wanaume wanaotoka nje ya ndoa/wenza wao, huko nje wanakutana na wezi wa waume za watu wakiwa na mbinu hizi, sasa ni bora ukazifanya wewe ili kumdhibiti mumeo! Sasa mume/Bwana anarudi kazini labda saa nne usiku, anakukuta bado hujaoga, akikuuliza “Umeshaoga?” Unamwambia eti “Nimeoga jioni hii hii!!!” Wakati umeoga tangu saa tisa alasiri. Wewe tangu ulipoamka asubuhi, ulichojua ni kupiga mswaki ukanawa uso, ukaanza na chai na mambo yako mengine! Mbaya zaidi hata mavazi yako, bado umeng’ang’ania matenge yako, gauni au suruali toka asubuhi, unanuka jasho upo hovyohovyo, Nywele timtim hayo matamanio huyo bwana yatatoka wapi? Chakula kizuri humvutia mlaji kwa kukitazama tu, kikamtamanisha ndiyo akakila, zinduka mwana ndoa/mahusiano!
Jizoeshe kumnyoa Mavuzi mpenzi wako, kwani unakaa na Mume, wewe hujawahi kumnyoa hata siku moja, lakini huyaoni Mavuzi kwa mpenzi wako, basi tambua yupo anaemnyoa!
Hakikisha usiku umepiga mswaki kabla ya kulala, hata ukimpa ulimi bwana anaupokea tena ukiwa safi, lakini kinywa kinachopigwa mswaki mara moja, tena husugui ulimi, wala kaa la juu la mdomo, wewe umeng’ang’ana na meno ya mbele na magego umemaliza! Hee, huo mdomo utanuka, kisha utasema mie mtu wangu hapendi kabisa kula denda! Aaa wapi denda anakula nje huyo, badilika mwanamke! Au mwanamke unavaa chupi moja siku mbili au tatu, ukienda kunawa huko chini hutii kidole na kutoa utoko wewe unasugua mashavu ya uke tu, kisha unataka unyonywe uke, weeeee nani unataka kumuumiza koo lake umpe fangasi?! Kwani uke usiotiwa vidole wakati wa kuuosha na kuuchokoa ndani, kuna Bakteria wanaitwa TRAKOMONAS, hupelekea kuwashwa kwa uke, na mtu atakaeunyonya uke huu, muda wowote asishangae akipata mafindofindo! Au kukaukwa midomo. Weka safi uke wako mwanamke, kwani mapenzi ni Uchafu unaotokana na Usafi!
Mwanamke wakati wa majambo acha kutumia kitanda peke yake kufanyia tendo la ndoa, utamchosha huyo mwanaume! Tena wewe unajua kulala chali tu, ukijitahidi sana umebadilisha Style unalala ubavu, umemaliza kabisa ndiyo umemkalia juu bwana! Hebu kifanye chumba kizima ni sehemu ya mapenzi, yaani wewe kuwa mwehu wa mapenzi, fanya ngono chini, kitini, bafuni, sebuleni, wima, jikoni, shika ukutani, kaa mkao wa kiduku, inama, ilimradi fanya mapenzi kila penye falagha! Hapo mwanamke nyonga ndiyo mahala pake, nyonga minyato nyonga kasi, Tena usiwe bubu katika jambo hilo! Zungumza, Lia mtoto wa kike, legea, nyegezeka, badilisha sauti hiyo, mtazame usoni mwenzio kwa jicho la mahaba, kataa kufumba macho utawaza vitu vingine bure! Muulie “Vipi Honey unaenjoi kama mimi? Nambie nikupe nini, nambie mpenzi wangu nikuridhishe, Niambie nikaeje unavyopenda wewe?” Hapo utamsikia mwanaume anakujibu, “Naridhika mpenzi, tena kuliko wewe unavyoinjoi, sikuachi mpenzi wangu raha hizi nitazipata wapi mie?!” Sasa wewe fanya haya kisha huyo mwanaume wako atoke nje, thubutu miaka mia nane, hatoki nje! Vitu vyake sanjari na pesa, utazizoa, mshahara utaweka wewe, na matumizi utapanga wewe! Lakini ukisema aende tu huko nje, hapa atakuja kulala, unabweteka kisa eti umeolewa, au ushavishwa pete! Weee haya weee wacha wanawake wenzako wamfaidi huyo bwana, mwisho aje kuhamisha mashati na suruali ahamishie nyumba ndogo huku akikunanga!
Mwanamke unapomaliza majambo na mwenzio, hakikisha unamfuta vizuri, huku unampa pole, na hongera kwa kukojoa! Mbusu mdomoni, mbusu mashavuni, mbusu kwenye paji la uso! Kwa kufanya vivyo, utakuwa umejenga ngome imara sana, bwana akiwa mywaji, amini mtatoka wote, au atakuja mnywee nyumbani, akenda kuangalia mpira kabla filimbi ya mwisho utamuona anambwelambwela anataka kuwahi nyumbani!
Kwa haya machache, leo nakomea hapa.
Tukutane kesho panapo majaaliwa, katika mada nyingine.
Saa kumi kamili jioni.
Nawatakia Jumapili njema.




Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: