MADA YA LEO FAIDA NA MADHARA YA SEXY.



WALENGWA NI MWANAMME NA MWANAMKE.

A/aleykum.
Nimatarajio yangu mmeshinda salama wapenzi wa Ndani Na Nnje Ya Kuta Nne.
Jana nimepata maoni mengi inbox na katika simu, baadhi ya wadau wakiomba mada hizi ziwe zinawajia usiku wa saa tatu, badala ya saa kumi alasiri. Hoja yao ni kwamba wapatapo mafundisho haya, waweze kuingia katika mazoezi ya vitendo ili kuyafanyia kazi kwa wenza wao! Mimi sina pingamizi kuhamisha muda na kuweka muda huo, ikiwa wingi wa wasomaji wangu mtataka lifanyike hilo. Kwani mie bila ya nyie kusoma na kuyafanyia kazi haya ninayoyatoa kwenu bila ya gharama yoyote, itakuwa ninapoteza muda wangu bure! Hivyo mtakapochangia mada ya leo, pia ningependa mnambie kama muda uwe usiku au huuhuu wa jioni. Naomba niwatake kuwa, wa invite marafiki zako Page hii wa like, ili na wao wapate burudani hii adhimu, ambayo wenyewe makungwi wanachukia sana mm kuitoa bure! Lau ningelikuwa mwanamke, basi kwa kutoa elimu hii hapa ningeshaitwa Msungo!!! Wenyewe wanataka elimu hii itolewe chumbani wakiwa na chupi tu, washalewa pombe zao na ulevi mwengine, kisha waimbe na kukatika sana! Waoneshane nani ana shanga nyingi, nani ana dhahabu kiunoni kwake, nani ana shanga za makilikili, na nani ana shanga za kimasai! Baada ya kukatika sana na kuimba kisha hupewa pesa wakaondoka zao. Sasa mimi naonekana natishia biashara za watu!!! Ingawa hapa mie sifundishi viuno vya Msondo wala nini. Mimi natoa mbinu mbadala za Sexy tu.
Baada ya dibaji hiyo, sasa nataka kuingia katika mada yangu ya leo kama inavyosomeka hapo juu. Nimeona ni bora watu wakafahamu kuwa kila jambo lina faida na madhara yake! Hasa Sexy ina faida nyingi za kimwili na kiafya, ambazo nitazielezea kwa kina ili watu wafahamu faida zake. Lakini pia nitaelezea madhara yake nayo wayafahamu. Ili wakiamua kushiriki tendo hilo, watambue mambo hayo mawili faida na madhara.
Nianze na faida za Sexy; 1. Kufanya Sexy kunaongeza familia, na kuongeza nguvu kazi, na wapiga kura lakini pia tunaijaza dunia! Kila mji uliosifiwa kuwa ni mzuri, umejengwa na watu! Lau watu wasingezaliwa?! Unadhani ingekuwa vipi?
2. Mwili unapata siha njema, hasa baada ya kutoa shahawa! Kwani shahawa zikiwa nyingi sana katika mwili wa mwanaadamu, zinaharibu mwili. Zitakutoa chunusi, na majipu na nk.
3. Burudani ya nafsi. Ufanyapo Sexy kuna starehe kubwa sana unapata ambayo siwezi kuilinganisha na starehe zingine! Mtu awe na mapesa benki zote za dunia ziwe zake, kama hana starehe hii, pesa zake hazina maana! Mtu awe kiongozi wa juu kabisa katika dunia hii, kama haidiriki ndoa, huwa hana heshima kabisa! (Hapa sijamshirikisha Pope)
4. Kupata amani na utulivu wa moyo! Mwenye kufanya Sexy anakuwa na furaha sana katika moyo wake, hasa ikiwa Sexy ya ridhaa na ikafata kanuni zake (Maandalizi)
5. Kuondosha msongo wa mawazo. Maumivu ya mgongo na kiuno pamoja na miguu, inakufanya uchangamke na inakupa kujiamini. Pia ndani ya Sexy kuna mazoezi ya viungo tosha! Unaweza kumuona mpenzi wako katika Sexy amebiduka huyo, huku akikatika viuno kwa raha apatayo, sasa maliza Sexy kisha mwambie akae tena ule mkao, hawezi kukaa tena!!!
Faida za Sexy zipo nyingi sana zaidi ya 50! Ila kwa hizo chache nilizozielezea, zitatosha kuwakilisha nyingine.
Baada ya kutazama faida za Sexy, sasa tugeukie madhara yake nayo tujue.
1. Kufanya Sexy mara kwa mara kunaleta udhaifu wa mwili! Kwani ufanyapo Sexy unatoa jasho jingi sana mwilini, unatoa Shahawa mara kwa mara, hivyo utapunguza uzito!
2. Kufanya Sexy Mara kwa mara, kunapunguza kwa kiasi kikubwa hamu ya kufanya tendo hilo, pia kunapunguza nguvu za kiume na kunakufanya umzowee mwenza wako, umuone hana jipya!
3. Kuujaza mwili tamaa! Kufanya mapenzi mara kwa mara, huongeza uzalishaji wa homon mwilini, na kuufanya mwili uwe na msukumo mkubwa wa kutaka kuridhishwa, kwa hiyo kumfanya mtu kuwa na tamaa ya mwili, na kila amuonae, yeye atamtaka aSexy nae!
4. Kupata Magonjwa. Kufanya mapenzi mara kwa mara, tena kwa watu tofautitofauti, huweza kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa na Ukimwi. Kwa wanawake, wafanyao mapenzi mara kwa mara, hupunguza kwa kiasi kikubwa ute ute unaotoka ukeni, hivyo kuufanya uke kuwa mkavu sana, na kupata michubuko haraka, na kuwa katika hatari kubwa ya kupata maambukizi!
Baada ya hayo machache, leo naishia hapa natarajia mtapata elimu kubwa ya ufahamu wa Sexy.
Kesho tukijaaliwa. Nitawaletea Mada Bomba sana ya Mikao ya Sexy na Test zake! Usikose mdau.
Nawatakia siku njema.



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: