MAKUNDI EUROPA LIGI:MAN UNITED YAPEWA FENERBAHCE,SAMATTA NA GENK YAKE YAKE WAPEWA WAGUMU BILBAO



Monaco,Ufaransa.
DROO ya upangaji wa makundi ya UEFA EUROPA LIGI imefanyika mchana huu huko Monaco,Ufaransa.
Katika droo hiyo timu 48 zimegawanywa katika makundi 12 ya timu nne nne.Michuano hiyo itaanza kutimua vumbi lake Septemba 15 na kuhitimishwa Mei 24,2017 kwa mchezo wa fainali kupigwa katika dimba la Friends Arena Solna Stockholm, Sweden
DROO KAMILI:
KUNDI A: Manchester United, Fenerbahce,Feyenoord, Zorya
KUNDI B: Olympiacos, Apoel, Young Boys,FC Astana
KUNDI C: Anderlecht, St Etienne, Mainz, Qabala
KUNDI D: Zenit St Petersburg, AZ Alkmaar, Maccabi Haifa, Dundalk
KUNDI E: Viktoria Pizen, AS Roma,Vienna, Astra Giurgiu
KUNDI F: Athletic Bilbao,KRC Genk, Rapid Vienna, Sassuolo
KUNDI G: Ajax, Standard Liege, Celta Vigo Panathinaikos
KUNDI H: Shakhtar Donetsk, Braga, Gent,Konyaspor
KUNDI I: Schalke, Salzburg, Krasnodar,Nice
KUNDI J: Fiorentina, PAOK, Slovan Liberec, Qarabag
KUNDI K: Inter Milan, Spata Praga,Southampton, Hapoel Be’er Sheva
KUNDI L: Villarreal, Steau Bucharest, FC Zurich,



Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: