Sehemu Ya 2
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
"sawa dokta"
"na pia kuusu chakula huyu mfanyakazi atawapikia na ataleta huku huku, ila hakikisha mgonjwa anakula ili dawa zisimzidi sawa"
"sawa dokta"
Baada ya dokta kumuachia maagizo yote nesi wake, aliondoka na kwenda kuimalizia siku yake hospitalini kunako wagonjwa wengi kuliko mimi.....
Sasa kumbe nesi nilioachiwa ni mcharuko mtupu japo sikua nikimuona, kwa macho ila kwa maskio namsikia kwa mbali
"haaa siamini kama mahensam pia mnaumiaga, yaani mtoto una sura nzuri kama mwanamke,.... Natamani nilijue jina lako, maana kwa uhensam uliokua nao, hapa siondoki bure, yaani nakuombea upone haraka, maana nimekupenda bure tu"
Mimi niliisikia tu sauti akijisemea mwenyewe, lakini sikua na fahamu ya kumjibu wala kumuona mwanamke huyo ambae ndio nesi alie achiwa majukumu yote kuusiana na mimi....
ENDELEA
Kama kawaida skio la kufa hua halisikii dawa, ila mimi nilikua nipo hai, lakini nilizidiwa zaidi mpaka nilikua nakula kwa kutumia mipita, Mama yangu alichanganyikiwa sana baada ya kuiona hali kama ile ambayo kwa yeye binafsi hakuitarajia kuwepo katika famili yake,...
Baada ya wiki moja kupita, pia sikua nimeamka na wala sikua na dalili zozote za kuonyesha uhai wangu, kwani hata mapigo ya moyo yalikua ni madogo mno, kiasi kwamba bila vipimo huezi jua kama nipo hai,
Mama yangu alilia sana na kuhisi labda dokta alimdanganya kua mimi ni mzima ili tu alipwe hio pesa, maana yapata wiki moja sasa, sijaamka wala kutikisa mkono, yaani ni mtu wa kumsubiria tu afe,.... Mama alilia huku akisema kua, mwanangu anazidi kupungua mwili wake, yaani nazidi kukonda badala ya kunenepa..
Siku zilienda na leo ilikua ni siku ya juma tatu tarehe 23 mwezi wa kwanza mwaka huu nikiwa bado nipo kitandani hoi hoi,
"koh, koh, koh, koh, koh"
"heeeee sheby mwanangu amka baba nikuone hata kidogo mwanangu"
Mama alinisikia nikikohoa kuashiria kidooogo fahamu ilikua ikinijia, Mara hapo hapo dokta alikuja kwa spidi baada ya kuitwa na nesi wake kua hali yangu imeonekana na mapigi ya moyo yaliongezeka kiasi flani ambacho kililizisha wengi kuamini kua nitapo,
"mama, muache mgonjwa aendelee kupumzika"
"dokta, nimemsikia akikohoa jamani"
"sawa, lakini ukimsumbua hapo utakua unamuumiza mgonjwa"
"mmmhh sawa dokta nimekuelewa"
"Eeeeee, kaa kwenye kiti na utulie"
Mama alitulia kimya kama alivyoambiwa kua akae na atulie, maana aliponisikia nikikohoa alikuja na kuanza kunitikisa huku akiniamsha,
Baada ya siku mbili kupita, hali yangu haikua mbaya sana ila sikua nimeamka toka nilazwe, na hata macho yenyewe sijawahi kuyafumbua, na ilikua yapata wiki mbili sasa sijaonyesha dalili yeyote ya kupona tofauti na siku ile niliokohoa, Kama kawaida yangu nilikua nasikia ila kuviweka kichwani vitu nilivyokua nasikia siwezi, yaani ni kama ndoto..... Kuna mtu unakuta anaota ndoto usiku lakini akiamka asubuhi haijui tena ile ndoto, kwahio ilikua ni sawa na mimi ambae nilikua nasikia kila kitu kilichokua kikiongelewa maeneo hayo, ila kukiweka kichwani ndio ilikua ngumu....
Wakati huo dokta alikua hayupo na mama angu alichelewa kuja, na kama unavyojua natibiwa kwa siri mno katika nyumba ya dokta, ili nisijulikane na serikali kua nipo hai, maana wanajua nimefariki dunia na kufuta ile kesi iliokua ikinikabili mbele yangu, hivyo kwa sasa sipo hospitalini bali nipo kwenye nyumba ya dokta nikitiwa huko kwa siri zaidi, ....
Ghafla nilisikia mlango ukisukumwa, na watu waliingia huku wakiongea,
"unaskia fatu, huyu mtoto ni hensam mpaka basi, yaani sijui kwanini mungu asingemuepushia hio ajali"
"weeeee afu mimi sijawahi kumuona sura yake"
"yaani ukimuona, utamtamani mwenyewe"
Waliokua wakiongea kuusu mimi alikua ni nesi na mfanyakazi wa ndani wa dokta aitwae fatu, kwahio huyo fatu ni mfanyakazi wa ndani wa hii nyumba ya dokta, ambae alipewa jukumu la kupika chakula na kuniletea huku ndani, na huyu nesi amepewa jukumu la kuniangalia na kunipa dawa kwa kutumia mipira, huku nikionyesha tofauti mbaya au nzuri ampigie dokta afike mara moja, hivyo huyo mmoja ni nesi na huyo mwingine ni mfanyakazi ea ndani kwa dokta,
"naomba nimuone basi, ili na mimi nimsaminishe"
Huyo ni mfanyakazi aliekua akimuomba nesi amfunulie pazia ili anione, maana chumba ni hicho hicho ila kimewekwa pazia katikati ya chumba, hivyo ili unione ni mpaka ufunue hilo pazia ndio uweze kuniona,
"mh mh bwana dokta atanifokea"
"heeeee nawewe nesi judi unanigeuka tena"
"sio kua nakugeuka, mimi mwenyewe siruusiwi kumfunua mara kwa mara"
"plz naomba nimuone afu nitakupa vile vitu vyetu"
"kweli, afu umejuaje nina hamu"
"naomba basi nimuone"
Kweli yule judith au nesi alikubali kunifunua na yule fatu aliniona lakini mimi nilikua sijui hili wala lile, kwasababu nilikua nasikia tu
"heeeee nesi, huyu ni mtoto au mtu mzima"
"mi mwenyewe alinichanganya, na nilikuja kujua ukweli baada ya kuona kadi yake ya kuzaliwa"
"mmmhhh we muongo"
"kweli vile, tena kazaliwa tarehe 12 - 12 - 1995"
"haaaa we mtoto wa watu bado mdogo wewe"
"mmmhhh miaka 20 bado ni mdogo... Kubwa hili hata mimba linaweza kukupa"
"ila kweli nesi,....... jamani ana mdomo wa kunyonya, hebu ngoja nimnyonye kidogo"
"we, we, we, we, we, utaniharibia kazi shoti mh mh ditaki, heeee yaani upewe lifti utake na honi weeee"
"nesiiiiiiiiiiii, mi najua hata wewe huezi kumuacha, sasa kwanini tusimfaidi wote"
"akuuu mimi namsubiri apone ili anione mwenyewe na umbo langu"
"heeeeeee ivi wewe na mimi nani mwenye umbo, halooo huna hata haya we mwana kulaaniwa wewe"
"heeeee fatu, mimi ni mwana kulaaniwa mimi"
"sasa nashangaa unanibania kumpiga hata busu"
"nimesema sitaki, si usubiri apone ujilete mwenyewe"
Walianza kutupiana maneno ya kukashfiana, huku kama walikua wanataka wapigane kisa ni mgonjwa aliekua hoi taabani kitandani, lakini mimi nilikua nikisikia tu maneno makali yalioambatana na matusi juu yake baina ya HouseGirl na nesi, kwahio inaoneka hawa watu wanalingana maana mimi sikuwahi kuwaona kabla ya kuumwa, Lakini nikiwa naendelea kuwasikiliza mara waliachana na topic ya kugombani mgonjwa alio hoi kitandani,
"ok tuyaache hayo fatu, sasa vp ile ishu, mwenzio nina hamu"
"aaaaa bwana umeniuzi sana leo"
"hata mimi pia umeniuzi sana, ila haina haja ya kuchukiana na wakati sisi ni wamoja tu hata iweje na ukiangalia tumeshazoeana hata kabla ya huyu mgonjwa, hivyi mi naomba tuyaache hayo"
"poa, basi wacha mi nikapike maana si unajua huu ni muda wa mgonjwa wako kula"
"sawa ila vp sasa ile ishu"
"nitakupa tukimaliza kula"
Sikua najua walichokua wakiombana wadada hawa japo sauti zao zilizidi kulegea ngazi hadi ngazi, huku nikisikia mihemko ya hapa na pale ikiwaamsha hisia zao
"ngoja nikapike kwanza"
"fatuuuuuuu, mi mwenzio nina hamu"
"sasa judi, tutafanyaje na njaa"
"mi sina njaa"
"nesi, leo hukulala na mpenzi wako ee"
"mmhhhh kwani mimi nina mpenzi mwingine zaidi yako, afu pia hata kama ningekua nae je ningelala nae wapi na kila siku nalalia hapa"
Nilishangaa wakiitana wapenzi na wakati wote ni wanawake,
"mi mwenyewe pia nilikua nakuwazia"
"yule mtoto umemlaza wapi"
"atakua kalala kule kitandani kwao"
"sasa"
"nini"
"twende kitandani kwako"
"bwana nesi mi naskia njaaa"
"tukimaliza nitakuseidia kupika bwanaa"
"kupika sio tatizo, tatizo ni kuniruusu nimnyonye yule mgonjwa"
"lakini kwanini unang'ang'ania hivyo fatu"
"kwani we unamuonaje yule boy"
"sawa, lakini si mgonjwa yule"
"mi nataka denda tu"
"hapana mpaka unipe sababu ya kupenda kufanya hivyo"
"sikia nesi, mimi najijua nina umbo zuri kushinda hata wewe, ila sura sina hivyo nataka nimfaidi kabla hajaamka, maana na hii sura yangu naweza kujitongozesha na akanikataa"
"mmmmhhhhh makuuubwa"
"madogo yapo kwenye bukta"
"kwahio sasa"
"niruusu kwanza afu nikakupe mautamu"
"mmmhhhhhhhh"
"mmmhhh nini kwani ni ndugu yako"
"weweee naogopa unaweza kumfanya vibaya mtoto wa watu"
Nesi alizidi kukataa kata kata lakini mbaya zaidi ni kwamba nesi nae kuna kitu anataka kutoka kwa mfanya kazi huyu, yaani huyu nesi anaonekana ni Lesbian ( penzi la jinsia moja) Nesi alilegezwa na maneno na huyu HouseGirl ili tu aruusiwe kufanya anachokitaka kwangu..
"sawa, ila leo naomba unikune mwenzio"
"we usijali, tena tutaenda kitandani kwangu, maana hata mimi mwenyewe nina hamu"
"kweli fatu"
"kweli vile, sasa nikudanganyie nini"
"basi nenda usichelewe, ila uangalie usije muumiza mgonjwa"
"mmmhhh kwani mwili wangu ni chuma"
"basi nenda"
Je? Huyo fatu atafanikiwa kupata akitakacho?
Ludewa yetu na maendeleo yetu posted by barnabas njenjema, kutoka Ludewa
0 comments:
Post a Comment