Jurgen Klopp kasajili nyota mpya Liverpool


Klabu ya Liverpool leo July 20 2016 imetangaza kukamilisha usajili wa beki wa kimataifa wa Estonia Ragnar KlavanLiverpool imekamilisha usajili wa Ragnar Klavan mwenye umri wa miaka 30 kutokea klabu ya FC Augsburg ya Ujerumani.
Hata hivyo klabu ya Liverpool haijataka kuweka wazi imemsajili kwa mkataba wa muda gani ila mitandao inaripoti kuwa ni mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongezewa mwaka mmoja zaidi, dau lake linakisiwa kufikia pound milioni 4.2.



Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: