Hawa Ni Wajumbe Wa Kamati Ya Shule Na Harambee Ya Uchangiaji Ukarabati Wa Madarasa Na Nyumba Za Walimu
Mwalimu Mkuu Wa Shule Ya Msingi Sovi Ezekiel Chaula Wa Upande Wa Kulia Na Wa Kushoto Ni Mkurugenzi Wa Taasisi Ya Mafanikio Foundation Michael Uhahula
Madawati Nayo Yanawasubiria Kulipa Deni La Shilingi Milioni Mbili Zinazotegemea Michango Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Sovi Na Mwango Wanaosoma Kwenye Shule Hiyo
Mwenyekiti Wa Kamati Ya Shule Hance Luwanja Akizungumza Na Wajumbe Kuhusiana Na Maandalizi Ya Harambee Ya Kuchangia Ukarabati Wa Vyumba Vya Madarasa Na Nyumba Za Walimu Katika Shule Ya Msingi Sovi Wilayani Njombe.
Wanachi Na Wadau Wa Elimu Mkoani Njombe Wameombwa Kujitokeza Kuchangia Ukarabati Wa Miundombinu Ya Shule Ya Msingi Sovi Kata Ya Mtwango Wilayani Njombe Ambayo Inakabiliwa Na Uchakavu Wa Madarasa Na Nyumba Za Walimu Kwa Lengo La Kuboresha Mazingira Hayo Yaweze Kuvutia Utendaji Kazi Na Kujisomea Kwa Wananchi Wa Shule Hiyo.
Rai Hiyo Imetolewa Na Mwenyekiti Wa Kamati Ya Shule Ya Msingi Sovi Hance Luwanja Wakati Akizungumza Na Uplands Fm Kuhusiana Na Changamoto Mbalimbali Zinazowakabili Wananchi Wa Kijiji Cha Sovi Na Kusema Kuwa Tatizo Kubwa Ni Uchakavu Wa Madarasa Ya Shule Na Nyumba Za Walimu Ambazo Haziwahi Kukarabatiwa Tangu Zijengwe Miaka 30 Iliyopita.
Aidha Luwanja Amesema Kutokana Na Uchakavu Huo Kamati Ya Shule Kwa Kushirikiana Na Serikali Ya Kijiji Wamelazimika Kuandaa Mkutano Na Kuwaalika Wadau Wa Elimu Wa Kutokana Maeneo Mbalimbali Ya Mkoa Wa Njombe Akiwemo Mbunge Wa Jimbo Hilo Joram Hongori ,Taasisi Na Makampuni Kwa Lengo La Kusaidia Uchangiaji Ujenzi Huo Kwenye Harambee Itakayofanyika Augost 27 Mwaka Huu.
Akizungumza Kwa Upande Wake Mwalimu Mkuu Wa Shule Ya Msingi Sovi Ezekia Chaula Amesema Kuwa Shule Hiyo Licha Ya Kuchakaa Kwa Madarasa Lakini Pia Milango Nayo Ni Chakavu ,Nyumba Za Walimu Zinakatisha Nia Ya Kuendelea Kufundisha Wanafunzi Hususani Msimu Wa Mvua Ambao Walimu Hulazimika Kuacha Masomo Kwenda Kuhifadhi Mali Nyumbani Zisivujiwe Na Maji Ya Mvua.
Mkurugenzi Wa Taasisi Ya Mafaniko Foundation Michael Uhahula Amewahimiza Wadau Wengine Na Wazazi Kujenga Moyo Wa Kujitolea Kuboresha Mazingira Ya Elimu Kwa Manufaa Ya Wanafunzi Ambapo Jitihada Za Ukarabati Huo Zinatakiwa Zienze Na Wakazi Wa Kijiji Hicho Ndipo Wadau Nao Washiriki Na Kwamba Taasisi Hiyo Imeahidi Kudhamini Tukio La Harambee Ili Kufanikisha Harambee Hiyo.
Noel Ndunduru Ni Mwenyekiti Wa Serikali Ya Kijiji Cha Sovi Amesema Serikali Na Wananchi Wake Wameunga Mkono Jitihada Za Kamati Ya Shule Kufanya Harambee Ili Kufanikisha Kupatikana Kwa Fedha Zaidi Ya Shilingi Milioni 20 Kwaajili Ya Kuboresha Mazingira Ya Shule Kwa Kukarabati Madarasa Na Nyumba Za Walimu Ambazo Zimechakaa.

Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment