Picha za DC Richard Kasesela zilivyozua gumzo mitandaoni



Ni kwa takriban muda sasa Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mjini Richard Kasesela amezua gumzo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii huku wanaomjadili wakiwa na mitazamo tofauti.
Baadhi ya picha kwenye mitandao hiyo zinamuonyesha Mkuu huyo wa wilaya akiwa kwenye kazi malimbali za jamii, michezo, maisha ya kawaida na mambo yanayojihusiha na silaha.
Baadhi ya wadau walihoji endapo matendo hayo ni wito au ni katika kutaka kumfurahisha mteuzi wake Dk. Magufuli ambaye hivi sasa anajipanga kuorodhesha wakuu wa wilaya wapya kama ilivyokuwa kwa wakuu wa mikoa.
Kaselela aliteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Oktoba 2015 uteuzi uliofanywa na Rais wa wakati huo Jakaya Mrisho Kikwete.


Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: