Wiki hii inaisha huku kukiwa na stori kubwa zilizoanzia kwenye mitandao ya kijamii, majibizano yaliyofanya mpaka ishu ya watu kutaka DNA ya mtoto wa Diamond Platnumzna Zari iwekwe wazi ili ijulikane kama kweli ni mtoto wake.
Diamond
alijibu hii ishu kwenye exclusive interview, na pia Soudy Brown kaamua
kumtafuta Zari kusikia pia anachukuliaje hizo story za mitandaoni.
Zari kasema kachoshwa na maneno kuhusu
mtoto wao Tiffah, kwanza hawahusu chochote kwa hiyo hata kama ni mtoto
wa Diamond au sio wake, wanaozungumzia DNA hawamhusu chochote.
Kingine Zari amesema wana mtoto huyo mmoja lakini yuko tayari hata kuwa na watoto watatu na Diamond.
0 comments:
Post a Comment