PICHA: ANGALIA MAMBO YALIVYOKUWA UWANJA WA AMAAN WAKATI ‘VIGOGO’ VYA SOKA LA BONGO VIKITUPWA NJE YA MAPINDUZI CUP

Mashabiki wa kimasai wa Simba nao walikuwepo kuipa support timu yao kwenye mchezo wa nusufainali wa mashindano ya Mapinduzi dhidi ya Simba
Mashabiki wa kimasai wa Simba nao walikuwepo kuipa support timu yao kwenye mchezo wa nusu fainali wa mashindano ya Mapinduzi dhidi ya Simba
Jana Jumapili January 10, 2016 ilipigwa michezo miwili ya nusu fainali ya Mapinduzi Cup na kuzipata timu mbili ambazo zitachuana kwenye fainali ya michuano hiyo siku ya Jumatano January 13 kutafuta bingwa mpya wa mashindano hayo.
Mchezo wa kwanza uliopigwa saa 10:15 jioni ulimalizika kwa Mtibwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba na kukata ticket ya kuingia fainali ya Mapinduzi Cup.
Yanga wakatupwa nje ya mashindano kwenye nusu fainali ya pili iliyochezwa saa 2:15 usiku na kuiacha URA ikitinga fainali kwa ushindi wa mikwaju ya penati 4-3 kufuatia mchezo huo kumalizika kwa sare ya kufungana goli 1-1 ndani ya dakika 90.
Hizi ni picha a matukio muhimu yaliyojiri kwenye michezo yote miwili ya nusu fainali iliyopigwa jana.
Shabiki wa kweli wa Mtibwa Sugar kutoka visiwani Zanzibar maarufu kwa jina la 'Cicinho' akiishangilia timu yake wakati ikipambana na mnyama Simba
Shabiki wa kweli wa Mtibwa Sugar kutoka visiwani Zanzibar maarufu kwa jina la ‘Cicinho’ akiishangilia timu yake wakati ikipambana na mnyama Simba
Afisa habari wa Simba Haji Manara akipiga makofi mara baada ya pambao la Simba dhidi ya Mtibwa kumalizika na Simba kuondoshwa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup
Afisa habari wa Simba Haji Manara akipiga makofi mara baada ya pambao la Simba dhidi ya Mtibwa kumalizika na Simba kuondoshwa kwenye michuano ya Mapinduzi Cup
Kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr akiondoka uwanjani baada ya timu yake kung'olewa kwenye michuano ya Mapinduzi, kocha huyo naye aligoma kuzungumz na waandishi wa habari
Kocha mkuu wa Simba Dylan Kerr akiondoka uwanjani baada ya timu yake kung’olewa kwenye michuano ya Mapinduzi, kocha huyo naye aligoma kuzungumz na waandishi wa habari
Kocha mkuu wa Simba SC Dylan Kerr akimsogeza kijana ambaye ni mlemavu kwenye eneo ambalo angeshuhudia vizuri pambano la nusu fainali la Simba vs Mtibwa Sugar
Kocha mkuu wa Simba SC Dylan Kerr akimsogeza kijana ambaye ni mlemavu kwenye eneo ambalo angeshuhudia vizuri pambano la nusu fainali la Simba vs Mtibwa Sugar
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja (kulia) akifatilia kwa makini mchezo wa nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar
Kocha msaidizi wa Simba Jackson Mayanja (kulia) akifatilia kwa makini mchezo wa nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye uwanja wa Amaan, Zanzibar
Yanga-URA 2Yanga -URAsimba-mtibwa 1simba-mtibwa 4
Shabiki wa Mtibwa Sugar aliyejichukulia umaarufu kwenye michuano ya Mapinduzi 2016 kwa kuuza miwa ndani ya uwanja wa Amaan, Zanzibar
Shabiki wa Mtibwa Sugar aliyejichukulia umaarufu kwenye michuano ya Mapinduzi 2016 kwa kuuza miwa ndani ya uwanja wa Amaan, Zanzibar
Wchezaji wa URA wakishangilia kutinga fainali ya Mapinduzi Cup
Wchezaji wa URA wakishangilia kutinga fainali ya Mapinduzi Cup
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakiingia uwanjani kushuhudia pambano la nusu fainali kati ya Yanga dhidi ya URA baada ya wao kutangulia kwa kumtuliza mnyama
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakiingia uwanjani kushuhudia pambano la nusu fainali kati ya Yanga dhidi ya URA baada ya wao kutangulia kwa kumtuliza mnyama
Mapinduzi Cup 1Mapinduzi Cup 2simba-mtibwa 1Yanga-URA 3Mayanja 1
Kocha mkuu wa timu ya taifa 'Taifa stars' Charles Boniface Mkwasa (kulia) akifurahia jambo na msaidizi wake Hemed Morocco kwenye uwanja wa Amaan
Kocha mkuu wa timu ya taifa ‘Taifa stars’ Charles Boniface Mkwasa (kulia) akifurahia jambo na msaidizi wake Hemed Morocco kwenye uwanja wa Amaan
Golikipa wa URA Bwete Brian ndiye aliyekuwa shujaa wa mchezo wa nusu fainali kati ya Yanga dhidi ya URA. Golikipa huyo alipangua penati mbili za wahezaji wa Yanga kisha kufunga penati ya mwisho ya URA

Yanga-URA 1
Wacheaji wa URA ya Uganda wakipongezana baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ya Yanga
Wacheaji wa URA ya Uganda wakipongezana baada ya kuitupa nje ya mashindano timu ya Yanga

Ludewa yetu na maendeleo yetu
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: