Lagos, Nigeria
STAA wa muziki kutoka Nigeria, Anidugbe Oluwatobiloba Daniel, maarufu kama Kiss Daniel, ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya “Woju”, usiku wa kuamkia jana alinusurika kifo baada ya kupata ajali ya gari.
“Morning guys.. don’t press ur phone while driving fam, it’s never a good idea. Crashed into a canal last night @ lekki, all thanks to dese guys and some loyal fans that help get I and my producer out and the car… I wanna say a very big thank u to @djcoublon for screaming like a Yankee baby before the crash.. Bro u nailed it . We thank God, we still alive“.
Katika gari hilo alikuwemo pia prodyuza wake, DJ Coublon ambaye ametengeneza ngoma mpya ya Kiss Daniel ya “Good Time‘” na nyingine kali ya Tekno inayojulikana kama “Wash“.
Ludewa yetu na maendeleo yetu
About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment