Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China.
Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo kuona namna ya kupata vifaa hivyo kwa ajili ya kusidia katika Hosptali ya wilaya ya Arumeru na vituo vya afya.
Mh Nassari akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta katika karakana hiyo.
Mh. Nassari akipita katika karakana hiyo .
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China. |
Mheshimiwa Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo kuona namna ya kupata vifaa hivyo kwa ajili ya kusidia katika Hosptali ya wilaya ya Arumeru na vituo vya afya. |
Mh Nassari akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta katika karakana hiyo. |
Mh. Nassari akipita katika karakana hiyo . |
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment