Mtoto anayezaliwa leo Hutatumia Vitu Hivi Kumi Tena Ukubwani! (Vitakuwa vimepitwa na wakati)
1. Wallet Hazitakuwepo Tena baada ya Miaka kadhaa ijayo hasa kutokana na kuboreshwa mifumo ya ulipaji hela kwa mtandao.
2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
- See more at:
http://kumimuhimu.com/2015/03/18/mtoto-anayezaliwa-leo-hutatumia-vitu-hivi-kumi-tena-ukubwani-vitakuwa-vimepitwa-na-wakati/#sthash.sGmfoqBM.dpuf2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.

SHEREHE ya harusi mtaani hapa ilisitishwa kwa muda mama alipomtwanga kidosho kwa kumkumbatia mumewe na kumbusu hadharani.
Yasemekana kwamba kipusa na polo huyo walikuwa wakisomea pamoja shule ya msingi.
Kwa
mujibu wa mdokezi, wawili hao walikuwa marafiki wa chanda na pete
shuleni. Siku ya kisanga, jamaa na mkewe walihudhuria harusi ya rafiki
yao mtaani hapa.
Shamrashamra
ziliendelea vyema hadi wakati wa mlo watu walipotangamana huku
wakijuliana hali. Ni wakati huo ambapo kipusa alimuona jamaa ambaye
hawakuwa wameonana kwa kipindi cha miaka 12 iliyopita.
“Kwa
furaha mwanadada alimshangilia jombi kwa kumkumbatia na kumbusu
mashavuni,” akaeleza mdokezi. “Long time classmate, nimefurahia kukuona.
Kweli milima ndiyo haikutani watu hukutana. Unakumbuka zile enzi zetu
shuleni?” mwanadada alisema huku akimkumbatia na kumbusu.
Mkewe
alipoona kitendo hicho, alinyanyuka alipokuwa akisherehekea na akina
mama wenzake na kufululiza hadi wawili hao walipokuwa.
Penyenye
zasema jamaa alimporomoshea kipusa mateke na mangumi na kumpiga kwa
sahani aliyokuwa nayo. Ukumbi uligeuka kuwa wa vita kwa wawili hao.
“Nitakufunza adabu ujue kuheshimu waume wa wenyewe,” alichemka mama huyo akiendelea kumcharaza kidosho.
Watu
waliacha kusherehekea na kuwatenganisha wawili hao. Mumewe alisalia
kimya baada ya juhudi zake kumtetea kipusa kugonga mwamba.
“Huwa
unahudhuria harusi kuteka waume wa wenyewe? Huyu wangu usimjaribu
tafadhali,” mama aliendelea kuropokwa. Mama huyo aliendelea kurusha
cheche za matusi yasiyoweza kutajwa hapa.
Harusi hiyo ilisitishwa kwa dakika thelathini hivi ili mama huyo atulizwe.
Watu walishangazwa na tukio hilo huku wakimlaumu mama kwa kumdhulumu kipusa bila sababu.
Yasemekana harusi iliendelea ingawa mama huyo alikuwa akitupa macho kila wakati alipokuwa mumewe.
Mtoto anayezaliwa leo Hutatumia Vitu Hivi Kumi Tena Ukubwani! (Vitakuwa vimepitwa na wakati)
1. Wallet Hazitakuwepo Tena baada ya Miaka kadhaa ijayo hasa kutokana na kuboreshwa mifumo ya ulipaji hela kwa mtandao.
2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
- See more at:
http://kumimuhimu.com/2015/03/18/mtoto-anayezaliwa-leo-hutatumia-vitu-hivi-kumi-tena-ukubwani-vitakuwa-vimepitwa-na-wakati/#sthash.sGmfoqBM.dpuf2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
Mtoto anayezaliwa leo Hutatumia Vitu Hivi Kumi Tena Ukubwani! (Vitakuwa vimepitwa na wakati)
1. Wallet Hazitakuwepo Tena baada ya Miaka kadhaa ijayo hasa kutokana na kuboreshwa mifumo ya ulipaji hela kwa mtandao.
2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
- See more at:
http://kumimuhimu.com/2015/03/18/mtoto-anayezaliwa-leo-hutatumia-vitu-hivi-kumi-tena-ukubwani-vitakuwa-vimepitwa-na-wakati/#sthash.sGmfoqBM.dpuf2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
Mtoto anayezaliwa leo Hutatumia Vitu Hivi Kumi Tena Ukubwani! (Vitakuwa vimepitwa na wakati)
1. Wallet Hazitakuwepo Tena baada ya Miaka kadhaa ijayo hasa kutokana na kuboreshwa mifumo ya ulipaji hela kwa mtandao.
2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
- See more at:
http://kumimuhimu.com/2015/03/18/mtoto-anayezaliwa-leo-hutatumia-vitu-hivi-kumi-tena-ukubwani-vitakuwa-vimepitwa-na-wakati/#sthash.sGmfoqBM.dpuf2. Hatatumia Vitabu akifika Elimu ya Juu kutokana na maendeleo ya haraka ya vitu kama tablet, na uwezo wa kusoma chochote kwenye Mtandao.
3. Hataona nguzo za simu kabisa! (nguzo zinazopitisha nyaya za simu za mezani )
4. Hatatumia Funguo akishakuwa mtu mzima kwani Tunakoelekea, kila mtu atatumia password au alama za vidole badala ya funguo.
5. CD au DVD hazitakuwepo tena kutokana na Kubuniwa kwa teknolojia mpya za kuhifadhi Vitu.
6. Kamera ndogo za mfukoni (Simu zinaua kabisa soko la bidhaa hizi)
7. Mouse za Computer zitapotea kwani computer zote zitakuwa na uwezo wa kupangusa (Touch) na kuamrishwa kwa sauti.
8. Hatatumia tena Mashine za Fax kutokana na kuwepo kwa njia nyingine za haraka za mawasiliano
9. Betri za Redio, Tochi nk
10. Stamp na Barua Za Posta
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment