SECONDARY SCHOOL
Sehemu Ya 25
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Ilipoishia Jana →↓↓
Sasa toka saa hio namuita mama angu naona hageuki na wala hanitazami kama nakuja au laaa
"mamaa? mamaa? we mamaaa?"
Niliita lakini hakugeuka wala kuitika hivyo nikawa sihitaji kwenda huko kwa vile ambavyo nimeviona kwa ghafla ghafla tu. Nilijiuliza mama ana nini mbona haitikii? Nilikaza ili nikamguse kwenye bega na nimuulize ni kwanini haniitikii?
Nilijitahidi lakini sikua nikimkuta maana alikua katika mwendo mkali mno
"aaaaa mamaa mi siji tena uko"
Ghafla mama angu akageuka na kuniangalia kwa hasira hizo
Heeeeeee nilishangaa kuona sura ya mama angu imekuaje tena?
TELEZA NAYO
Sikuamini macho yangu kwa kuiona sura ya mama angu ikiwa katika hali ya kuchukiza. Yaani alikua kakunja sura mithili ya mtu mtu anaevuta harufu mbaya puani. Nilishindwa kumuelewa coz hata kuongea alikua haongei kabisa, Alininyooshea kidole tu huku akiniambia "twende" kwa ishara ya mkono.
Mmhhh sasa kuona hali ile niliogopa na kuongoza mwenyewe mpaka huko alipokua akipataka tufike,
Tulikua tunakaribia kufika kwenye kibanda fulani hivi kilicho zungushiwa vitambaa vya rangi tatu
NYEUSI, NYEKUNDU, NYEUPE nilishindwa kuelewa hii mahali pakoje pakoje? afu kuna miungurumo ya ajabu ajabu ambayo hata siijui na wala sijawahi kuisikia katika maisha yangu, Nilimuuliza mamaa lakini hakunijibu wala kutoa sauti. Mara nikasikia sauti ikisema
"Karibu, karibu, karibuuuuuuuu"
Nilishtuka kuskia hio sauti maana ilikua ni sauti ya mkwaruzo kwa sana, Niliskia tena ikisema
"usiogope, usiogope, usiogope"
Nilikua najikaza tu kiume maana si najua nipo na mama angu mzazi, hivyo hawezi kunifanya chochote kibaya.....
Mama angu ndio alianza kuingia ndani ya hicho kibanda ambacho ndipo sauti ilipotokea, Sasa na mimi nilipotaka kuingia nikaambia nisiingie bali nipige magoti kwa hapo nje tu itatosha...
"kijana hujambo?"
Alinisalimia huyo mzee aliokua kashika mkia wa ng'ombe huku akiwa kavaa mishanga mingi kifuani. na kichwani kafunga kitambaa chenye rangi tatu kama zile nilizozitaja kule juu ↑
"sijambo shkamoo?"
"marahaba hujambo kabisa?"
"sijambo"
"unaitwa nani kijana?"
"naitwa sharbiny"
"unaumwa nini?"
"apana siumwi kitu mzee nipo sawa kabisa"
"taireee taireeee"
Aliongea hivyo ila mimi nilishindwa kumjibu kwakua sijui alimaanisha nini,
Sasa akaanza kumuuliza mama angu maswali ya hapa na pale kuusu mimi
"mama? huyu ndio huyo kijana ulieniambiaga kuaaaa ee?"
"ndio mganga"
"taireeee taireee.... ivi ulisema ana tatizo gani vile?"
"mmhhh kiukweli babu mimi mwanangu simuelewi.. nahisi kama jogoo hawiki"
"taaiiiiree taireeee.... lakini mbona mtoto wako hana shida"
"hapana babu muangalie mwanangu bwana"
"taiiireeeeee.... Kijana?"
"naam babu?"
"una umri gani wewe?"
"nina miaka 20 babu"
"ulishawahi kutembea na msichana?"
"mmhhh kivipi babu? unamaanisha nikitoka shule niongozane na msichana au?"
"hapana, bali namaanisha hivi? ulishawahi kulala na mwanamke kitanda kimoja?"
"mmhhh ndio ni dada yangu"
Sasa ghafla babu akashtuka kuskia nimelala na dada yangu kitanda kimoja
"heeeee anasema kalala na dada yake? mungu wangu sasa mwanao si ana laana huyu?"
Mara mama akamjibu kua
"hapana dokta, mimi watoto wangu hua wanachagua pakulala na nimewazoesha hivyo toka wakiwa wadogo hivyo ni kweli kalala na dada yake lakini sii hivyo unavyofikiri bali ni kulala kwa kawaida tu"
"aaaaaaa hapo sasa nimeelewa.... sasa kijana?"
"ndio babu?"
"una mchumba wewe?"
"hapana sina na sitarajii kuwa nae?"
Mama alishtuka kuskia hivyo huku akisema
"mwanangu usiseme hivyooo"
Mama alikua anakaribia kulia kwa kusikia kua sina mpango wa kua na mpenzi
"babu? hebu mwangalie mwanangu umpe hata dawa za kuchemsha"
"mama dawa za nini nipewe?"
Mmmhh mama hakunijibu kitu bali aliendelea kuongea na babu huyo mganga wa kienyeji
Nilimuona tu mganga akija huku nilipo huku akiwa kaushika ule mkia wa ng'ombe. kisha akaniwekea kichwani huku akisoma madua dua yake hata sijui wala sisikii maana anayanong'ona tu hayo maneno yake.....
Baada ya kutoa ule mkia wa ng'ombe kichwani kwangu, alimgeukia mama angu na kumuambia
"mbona kijana wako ni mzima? tena ni mzima kweli kweli"
"babuu mcheki vizuriii"
"hapana... na siwezi kumpa dawa aina yeyote ile kwani hana tatizo kabisa. tena mtoto wako ni rijali mzuri sana"
"babuuu mtoto wangu hana uwezo"
"mama? usitake nikulie pesa yako bure, we weka chochote hapo kwenye chungu uondoke na mwanao... tena umenipotezea tu muda wangu.... na sijamgusa na wala sijamsomea kitu chochote ila nilikua namkagua tu, hivyo usiwe na wasi wasi mama. hapo una kidume cha nguvu mno"
"mmmhhh sawa babu ila nashukuru"
"sawa karibuni tena....... ila? huyu mwanao ulimleaje?"
"kiukweli mwanangu sikumlea mimi bali alilelewa na house girl, kwani mimi nilikua nasafiri sana hivyo sikupata nafasi hio kwakweli"
"basi muulize vizuri huyo mlezi maana kuna mambo mawili mlezi akiyafanya huweza kusababisha hayo"
Sasa mama alishainuka tuondoke mara kakaa tena huku akimuuliza babu kua
"ni mambo gani hayo"
"kuna hili moja ambalo ni siri...hua house girl akiweza kukifanya hicho kitu ndio anaweza kumfunga na ili aweze kumfungua ni lazima atembee nae"
"Eehee na hilo likine ni lipi?"
"lingine ni malezi... kama mwanao ni mpenda dini... basi hicho kinaweza kua sababu. na ili aweze kufunguka pia ongea na huyo huyo mlezi wake..... ilaaa kijana?"
"naam babu?"
"kwanini hupendi kua na mchumba?"
"aaaaa kwanza dini yangu imekataza kuujua uchafu huo kabla ya kuoa.... na vile vile pia umri wangu hauniruhu afu pia bado na soma...... Na vitabu vya mungu vinasema hivi Khuluhua"
"we kijana basi basi... sijakwambia utushushie dua zako, usije ukanikimbizia najini yangu bure apa... mama? mwanao ni mzima ila nimegundua kua tatizo ni maadili aliolelewa mtoto wako... hivyo wapaswa kufurahi kua na mtoto mwema"
Mama alikasirika kusikia hivyo.. aliamka na kunishika mkono na kuondoka zetu bila hata ya kumuaga mganga.
"sasa mbona hujamuaga?"
"we twende"
Tulitembea hadi kufika kwenye gari. akaliwasha na kuondoka kwa hasira hizo
Tulipofika kwenye kihotel kimoja hivi hapo moshi kiitwacho CHEN BAI kwa wale watu wa moshi mnapajua hapa. tulishuka ili tukale chakula cha mchana. maana ilikua ni mchana mida ya saa saba hivi na nusu.
Kama kawa mimi niliagiza aleso ( mchemsho ) Na mama angu aliagiza chipsi mayai na nusu kuku. basi tukawa tunafakamia minyama hio huku mama angu akianza maswali yake
"mwanangu? mbona hunipi raha mama ako? kila siku nakuwazia wewe tu"
"lakini mama? ni kwanini umenileta kwa mganga? ivi unajua nimekustahi tu kwakua ni mzazi wangu, lakini bila hivyo tusinge elewana pale"
"naomba unisamee mwanangu... kwani kuna siku nilimuadisia rafiki yangu kuusu wewe... hivyo akanielekeza kwa huyo mganga... sasa nilipoenda kabla ya kwenda na wewe, akaniambia nikifikia karibu na eneo lake nisiongee na wewe na usijue tunaenda wapi... hivyo ndio maana muda ule nilikukunjia sura ili nisiharibu masharti ya mganga... kwahio naomba unisamee mwanangu. kwani nilikua nimekunja sura huku roho ikiniuma kwa kitendo kile"
Mama angu alikua akijisafishia kwa vile alivyonikunjia uso mpaka nikaogopa na kuongoza mwenyewe hadi kwa mganga
"mmhh mbona mi nilijua tu"
"ila mwanangu? mimi sitaki kukuonea aibu kabisa kwani najua ugonjwa wako ni mzigo kwangu... naumia roho sana ninapoitwa mama mkwe na watoto wa kike wa marafiki zangu kwa ajili yako... na pia watoto wao wa kiume pia wananiita mama mkwe kwa ajili ya dada zako hivyo nasikia uchungu kuitwa mama mkwe alafu..alsfu.. alafu..alafu.... kumbe ni mama mkwe hewa tu"
Daaahhh Mama angu alikua akilia kwa uchungu mkali... sasa nikaangalia huku na huku kama nitaona hata demu mkali ili nimuonyeshee mama angu kua na mimi ni mkali sema sitakagi tu. Ila kwa bahati mbaya hakukua na mtoto mkali bali wote ni mabaa medi tu na walevi walevi.. hivyo nilishindwa kumpa mama angu exampo kua mimi nipo fiti ila binafsi tu sipo huru kwa kuufanya uchafu huo. kwani anti mwaju yenyewe aliniusia kutokana na uchafu huo. na pia madrasa ( msikitini ) tulifundishwa kuiepuka zinaa hivyo nipo makini sana na hilo
"mama? pia mimi sitaki kukuficha kabisa, kwani ukilia kwa ajili yangu nami naumia roho.. kifupi ni kwamba mimi ni mzima mama... na sina tatizo lolote na wala mimi sio shoga kama unavyosikia. na alichokwambia mganga ni ukweli mtupu kua mimi sina tatizo kabisa"
"sasa? ivi sesi ulitembea nae?"
"wala sijawahi na sintokaa kuwahi"
"sasa mbona kanidanganya?"
"kakudanganya nini?"
"mmnmhh Ah ah apana hakuna kitu alichonidanganya... hebu twende"
Mama alijisahau na kuropoka mambo yaleee ya ofisini sasa yeye anajua mimi sijui na hataki nijue kua siku ile alimtuma sesi aje anitake kimapenzi ili nimpe mimba, KAMA HUKUKISOMA HICHO KIPANDE UTAJIJU..... ILA WALIOKISOMA WATAKUMBUKA USUMBUFU WA SESI SIKU ILE..
Basi tulitoka huku nikicheka chini kwa chini tuuu huku tukiingia kwenye gari.
Tuliianza safari ya kurudi nyumbani kwa spidi kali mno. maana mama kakasirika baada ya kumwambia kua sikusex na sesi siku ile alipompa dili la kuja kuntamanisha na umbo lake zuri.....
Tulifika nyumbani mida ya saa 10 jioni. Nilipofika kwanza niliingia zangu bafuni na kutoa lile gundu la kishetani ambalo tumetoka nalo kule moshi. Nilipomaliza kuoga nilivaa kanzu kama kawaida yangu ni mida ya kwenda kuswali swala ya Alasili...
Nilitoka zangu kwa mguu maana ilikua ni mapema mno
Nilifika masjidi na kuswali swala ambazo sikuziswali kwa muda muafaka. hivyo ilikua nazilipia swala zangu.. baada ya hapo nilijisomea kidogo mpaka ilipofika swala ya maghalibi. Nikaswali kisha nilipomaliza, nikaona aaa ngoja nirudi nyumbani kwanza nikaanfalie kipindi changu cha mawaidha kwenye tv. kisha nirudi niswali insha. nilikua natembea kwa mguu taratibu tu, bila shaka na mtu wala buguza na mtu....
Sasa nilipofika karibu na nyumbani nilisikia sauti ikiongea kama ya mama angu hivi pembezoni mwa ukuta wetu, ila alikua na rafiki yake au jirani yetu.... Nikaona Aah huenda wanaongea yao tu, hivyo niliwapuuzia na kuingia ndani
Sasa ile naingia nikasikia amenitaja katikati ya maongezi yao... mmnhh ikanibidi nishawishike kuskiliza maana ni kama inaniusu vile. Na hapo nilipo mimi siwaoni na wala hawanioni. coz kulikua kuna kagiza kalichoanza kutanda.
"ivi mama jack? mwanao wewe umemleaje?"
"mmmhh kwanini uniulize hivyo mama zai?"
Huyo mama jack? ni yule mama yake na jackson rafiki yangu... na jackson ana pacha mwenzie wa kike aitwae jackline.
"mama jack? mimi kuna kitu nataka kujua kua ni kwa mtoto wangu tu au hadi kwenu?"
"mmmhhh swali lako gumu... ila nitakujibu. jackson na jackline nadhani unawajua wakoje?"
"ndio nawafahamu si mapacha? ila nataka kujua malezi uliompa jackson wako"
"aaaa mbona nimempa malezi mazuri tu.. na nimemfanya apende dini na anakwendaga kanisani kila juma pili na siku zingine zingine... na pia mwanangu sio mkorofi nimemfundisha kueshimu mkubwa na mdogo.. afu pia mwanangu ni mpole fulani hivi.... nadhani ni hayo tu"
"ookeee, na vp kuhusu wanawake anapenda?"
"yesu wangu yaani huko ndio kila siku napiga kelele lakini mtoto hanisikii kabisaa... hebu niambie umemkuta wapi na mwanamke? maana nasikia siku hizi anatembea mpaka na watu wazima kuliko hata mama yake"
"mmhhh basi mwenzangu una kidume cha maana"
"lakini mama zai? unajua bado sijakuelewa juu ya maswali yako?"
"mama jack? wewe si unajua mimi nina mtoto wa kiume?"
"nalijua haswaa... si sharbiny?"
"ndio..."
"sasa ana nini?"
"mwanangu hapendi wanawake tena hataki hata kuwasikia katika kichwa chake"
"mmhhh sasa? mbona ndio vizuri tu? tena mwanao ana heshma mpaka raha yasni big up sana kwa malezi mama.... yaani katka watoto uliowalea pale umelea mama"
"mama jack unanitukana sasa?"
"sasa usipewe sifa zako mama?"
"sikia mama jack? mimi ni mwanamke mtu mzima.... ivi imagen jogoo la mtoto wako haliwiki je? wewe utajiskiaje?"
"mmhhhh hilo nalo neno?"
"tena sio dogo"
"kwahio sasa wewe unatakaje?"
"ndio nataka nikuombe ushauri mwenzio.... si unajua sina mtoto mwingine wa kiume?"
"kwahio unataka kuniambia mwanao sio riziki?"
"mimi sijui"
"hebu jaribu kwenda nae hospitali"
"tumeshafanya hivyo vyote"
"basi nenda kwa mganga wa kienyeji"
"yaan huko ndio tumetoka leo na kaambia hana tatizo"
"mmhhh sasa mbona mimi sina ushauri wa kukushauri tena?"
"mama jack? najua bado una uwezo wa kuniseidia"
"kivipi sasa mama zai?"
"ok mimi nina wazo ila utakubali mama jack?"
"mmnhh wazo gani tena? mbona wantisha mwenzio"
"we niambie utakubali? ili umseidie mwanangu"
"mmhhh ila niambie kwanza hilo wazo"
"we kubali bwana mama jack"
"mmmhhh Haya nimekubali hebu niambie ni wazo gani hilo?"
"vizuri sana kwa kukubali.... kwanza shika huu mzigo"
Sikuujua ni mzigo gani kwani ilikua ni usiku mida ya saa moja hivi
"heeeeeeeeeeee mama zai? hizi ni za nini jamani"
"sasa? nisikilize kwa makini mama jack. wazo hili nakutegemea wewe sana mama jack hivyo sitegemei uniangushe"
"sema basi jamani mama zai, mbona unanitisha hivyo?"

Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment