Mashindano ya CECAFA CHALENJI CUP yanayoendelea huko Nchini Ethiopia sasa yanaingia hatua ya Robo Fainali baada ya kukamilika Mechi za Makundi hii Leo.
Tanzania Bara, maarufu Kilimanjaro Stars, Leo imetoka Sare na Wenyeji Ethiopia Bao 1-1 na kumaliza Kundi A wakiwa Washindi wa Kundi hilo na sasa watacheza na Sudan kwenye Robo Fainali.
Bao la Stars hii Leo lilifungwa na Simon Msuva Dakika ya 51 na Ethiopia kusawazisha Dakika ya 90 kwa Bao la kujifunga wenyewe la Salum Mbonde.
RATIBA/MATOKEO:
**Saa: Mechi ya Kwanza Saa 10 na ya Pili Saa 12
Jumamosi Novemba 21
Burundi 1 Zanzibar 0
Ethiopia 0 Rwanda 1
Jumapili Novemba 22
Somalia 0 Tanzania 4
Kenya 2 Uganda 0
Kenya 2 Uganda 0
Jumatatu Novemba 23
South Sudan 2 Djbouti 0
Sudan 1 Malawi 2
Sudan 1 Malawi 2
Jumanne Novemba 24
Zanzibar 0 Uganda 4
Rwanda 0 Tanzania 2
Zanzibar 0 Uganda 4
Rwanda 0 Tanzania 2
Jumatano Novemba 25
Kenya 1 Burundi 1
Somalia 0 Ethiopia 2
Malawi 3 Djibouti 0
South Sudan 0 Sudan 0
Somalia 0 Ethiopia 2
Malawi 3 Djibouti 0
South Sudan 0 Sudan 0
MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI
Ijumaa Novemba 27Rwanda 3 Somalia 0
Zanzibar 3 Kenya 1
Zanzibar 3 Kenya 1
South Sudan 2 Malawi 0
Djibouti 0 Sudan 4
Djibouti 0 Sudan 4
Jumamosi Novemba 28Uganda 1 Burundi 0
Tanzania 1 Ethiopia 1
Tanzania 1 Ethiopia 1
Robo Fainali
Jumatatu Novemba 30
Uganda Vs Malawi [19]
Kilimanjaro Stars Vs Sudan [20]
Kilimanjaro Stars Vs Sudan [20]
Jumanne Desemba 1
South Sudan Vs Ethiopia [21]
Rwanda Vs Burundi [22]
Rwanda Vs Burundi [22]
Nusu Fainali
Alhamisi Desemba 3Mshindi 19 Vs Mshindi 20
Mshindi 21 Vs Mshindi 22
Alhamisi Desemba 3Mshindi 19 Vs Mshindi 20
Mshindi 21 Vs Mshindi 22
Jumamosi Desemba 5
Mshindi wa Tatu
Fainali
CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP 2015
Fainali
CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP 2015
MSIMAMO
KUNDI A
| |||||||||
NR
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
Kili Stars
|
3
|
2
|
1
|
0
|
7
|
1
|
6
|
7
|
2
|
Rwanda
|
3
|
2
|
0
|
1
|
5
|
2
|
3
|
6
|
3
|
Ethiopia
|
3
|
1
|
1
|
1
|
3
|
2
|
1
|
4
|
4
|
Somalia
|
3
|
0
|
0
|
3
|
0
|
9
|
-9
|
0
|
KUNDI B
| |||||||||
NR
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
Uganda
|
3
|
2
|
0
|
1
|
5
|
2
|
3
|
6
|
2
|
Burundi
|
3
|
1
|
1
|
1
|
2
|
2
|
0
|
5
|
3
|
Kenya
|
3
|
1
|
1
|
1
|
4
|
4
|
0
|
4
|
4
|
Zanzibar
|
3
|
1
|
0
|
2
|
3
|
5
|
-2
|
3
|
KUNDI C
| |||||||||
NR
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
3
|
1
|
South Sudan
|
3
|
2
|
1
|
0
|
4
|
0
|
4
|
7
|
2
|
Malawi
|
3
|
2
|
0
|
1
|
5
|
3
|
1
|
6
|
3
|
Sudan
|
3
|
1
|
1
|
1
|
5
|
2
|
3
|
4
|
4
|
Djibouti
|
3
|
0
|
0
|
3
|
0
|
9
|
-9
|
0
|
**Timu 2 za juu toka kila Kundi na Washindi Watatu wawili bora watasonga Robo Fainali
++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Ludewa yetu na maendeleo yetu
0 comments:
Post a Comment