Washindi wote wa Tuzo za AFRIMMA 2015 Marekani, Vee Money, Ommy Dimpoz na Diamond nao wamo



Good news kwa Tanzania… Yes, hii ni kwenye burudani kwa mara nyingine tena, Bongo Fleva ni muziki ambao umefika mbali kutokana na juhudi za watu wengi walioamua kuweka ngumu nyingi kuhakikisha huu muziki unafika kwenye headlines za Kimataifa.
Mtu wako wa nguvu ni mmoja ya walioshuhudia utoaji wa Tuzo za AFRIMMA 2015 ndani ya Dallas, Texas Marekani… Mastaa toka Bongo nao wameng’ara zaidi safari hii, yuko Ommy Dimpoz na Tuzo moja, Vee Money na Tuzo moja pamoja na Diamond Platnumz na Tuzo tatu.
List ya Washindi wote hii hapa mtu wangu, hongera nyingi kwa watu wa nguvu walioshinda AFRIMMA 2015.
Best Male (South Africa) – AKA (South Africa)
Best Male (East Africa) – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Male (Central Africa) – Yuri Da Cunha
Best Male (West Africa) – Davido (Nigeria)
Best Female (East Africa) – Vanessa Mdee aka Vee Money (Tanzania)
Best Female (West Africa) – Yemi Alade (Nigeria)
AFRIMMA Inspirational Song – ‘Alive’>> Bracket Feat. Tiwa SavageDiamond Platnumz
Best DJ (Marekani) – DJ Simplesimon
Best Newcomer – Ommy Dimpoz (Tanzania)
Best Collaboration – All Eyes on Me >> AKA feat. Da Les & Burna Boy
Best Dance Video – ‘Nana’>> Diamond Platnumz
Best Video – Ojuelegba >> Wizkid (Nigeria)
Artist of the Year – Diamond Platnumz (Tanzania)
Legendary Award – Yossou N’Dour (Senegal)
Transformation Awards AFRIMMA- Rais wa Botswana, Ian Khama
Best Video Director- Godfather (South Africa)



Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: