Jinsi ambavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura

 



 Jinsi ambavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya vituo vya wapiga kura By Edwin Moshi at Saturday, October 10, 2015 Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ndugu Kailima Ramadhani  amefafanua jinsi mabavyo Tume ya taifa ya uchaguzi ilivyo gawanya
vituo vya wapiga kura kote nchini. Katika ufafanuzi huo amefafanua mambo makuu Mawili.  1. Namna ambayo siyo sahihi ya kuhesabu vituo vya wapiga KURA kama walivyo fafamua baadhi ya watu, Ambayo ni namna ya KUPOTOSHA NA NI UWONGO, na  2. Namna SAHIHI  ya kuhesabu vituo kama tume ye taifa ya uchaguzi ilivyo hesabu. Nia hii inazingatia mambo yafuatayo. i). KUTUO HAKITAZIDI WATU 450 ii). KITUO KINAWEZA KUWA NA IDADI CHINI YA WATU 450 ILI WATU WALIOJIANDIKISHA KITUO KIMOJA WASIHAMISHWE KWENDA KUJAZIA ENEO JINGINE.  Itakuwa hivi. Endapo kuna eneo ambalo watu waliojiandikisha ni 1900 Tume ya taifa ya uchaguzi itagawanya watu kama ifuatavyo:-

 450+450+450 = 1300 1900-1300 = 550 550 gawanya kwa 2 = 275

  KWA HIYO MAHALI PENYE WAPIGA KURA 1900 PATAKUWA NA VITUO VITANO (5)  1. KITUO CHA KWANZA WATU 450 2. KITUO CHA PILI WATU           450 3.

 KITUO CHA TATU WATU        450 4.

KITUO CHA NNE WATU          275 5.

KITUO CHA TANO WATU       275 JUMLA    1900

 ZINGATIA   Kutokana na kuwepo kwa vituo vyenye idadi ya watu chini ya 450 kumefanya idadi ya vituo iwe kubwa

Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment