sasa natafsiri feux de l'amour.
samahani kuna baadhi ya maneno ya kifaransa nitaandika kama yanavyotamkwa bt sio kama yanavyoandikwa
Feux de l'amour
Feux de l'amour…. De l'amour est-ce aimer ou être aimé ?
(Moto wa mapenzi .... mapenzi.. ni kupenda au kupendwa?)
Bien que l'amour soit un symbole d'un sentiment partagé,
(ingawa mapenzi ni ishara ya kushare feelings)
L'amour n'est jamais un signe de bonheur parfait
(kuwa kwenye mapenzi sio ishara ya furaha kamili)
Bolingo eza maladie mabe,
(mapenzi ni maradhi mabaya)
Dokotolo n'ango motema, symptôme n'ango soucis,
(dokta wake ni moyo wangu, dalili za ugonjwa ni wasiwasi wangu),
Kasi nkisi na yango se présence ya moto oyo ozali kolula
(kumbe dawa yake ni presence ya unayemhitaji,)
Lokola ngai nalula masiya, ye nde nkisi na ngai
(kama ninavyomuhitaji masiya/yeye ndie dawa yangu)
Bolingo lokola maladie contagieuse,
(mapenzi ni kama maradhi ya kuambukiza,)
Tuna na banouveaux déçus, tuna na baveuve d'amour
(waulize waliotendwa, waulize wajane wa mapenzi)
Surtout tuna na badivorcés, bakopesa yo témoignage na bango
(zaidi waulize waliotalikiana, ushuhuda watakaokupa)
Okoyoka mawa, okoyoka ngolu, okotikela stupéfait, se kokamwa kamwa mama
(utajisikia vibaya, utasikia uchungu, utapigwa bumbuwazi, utawayawaya mama )
Se kouma uma, se kotuna tina Nzambe akela l'amour
(utasita, utauliza kwa nini mungu aliumba mapenzi)
Yango napona na ngai Amida, ata na mpasi tokovanda, ata bikedi tokolia, ata Thompson tokotonda
(ndio maana nimemchagua amida, hata kwenye tabu tutaishi, hata mihogo tutakula, hata thompson(kauzu) tutakula
Yesu kutu moana ya Nzambe, babota ye na ndako ya mpata?,
(yesu kristu ingawa ni mwana wa mungu mbona alizaliwa zizini?),
Kasi mokili oyo ya tata na ye, likolo na nse ya bango,
Tant-moi !
(wakati dunia hii ni ya baba yake,mbingu na nchi ni vyao)
Eeeeh!, Simon le meilleur
Na Kin liboso ya kolinga moto bakoma kotuna ovandaka wapi
(In kinsasha kabla mtu hajapendwa watakuuliza unaishi wapi)
Aiiii ! biso tovandi na Malweka, nani akolinga biso,
(sisi tunaoishi malweka {uswahilini ya Kinshasa, uchochoroni} nani atatupenda sisi?)
Mingi baboyaka bato se bongo
(wengi wanaishia kutukataa)
Mosika eleki, bangungi baleki, taxi kutu eboyaka kokoma
({wanasema} kwenu mbali, kuna mbu wengi, teksi usiku zinagoma kwenda huko)
Basusu liboso ya koloba oui, bakoma kotuna otangaka wapi ?
(wengine kabla ya kusema yes, wanakuuliza umesoma wapi?)
Ai !biso tobuka biki mua kala, nani akolinga biso ?
(Ai! sisi tumetupa biki(kalamu) zamani (tumekimbia umande) nani atatupenda sisi?
Tika tokosa ata kokosa, ngai nazali gradué, ngai nazali licencié, ngai nazali ingénieur, oyo balingaka
tunaamua kudanganya na kudanganya, mimi ni graduate,mimi nina masters,mimi ni engineer, ili watupende)
Basusu liboso ya kolinga moto bakoma kotuna de quelle famille es-tu !?
(wengine kabla hawajampenda mtu, wanamuuliza umetoka familia gani?)
Aiii ! biso famille ezangaka degree, nani akolinga biso ?
(Aiii !sisi familia yetu hamna hata degree moja, nani atatupenda sisi?)
Nzambe ya mpungu bandela mokili oyo, otunaka moko na moko soki nani akolinga lisusu kobotama na famille ya pauvre
(mungu wa wa laana , anzisha upya dunia yako kisha umuulize mmojammoja nani akizaliwa upya atachagua kuzaliwa familia duni?)
Ngai te !
(jibu litakuwa --mimi hapana)
Ngai obe na famille ya Adam Bombole, le grand saudien, mpo bamelaka ti tongo nioso, na miliki, na mateka na saucisson
(mimi ningechagua kuzaliwa familia ya adamu bombole, mtaalamu wa sauti(studio), wenyewe kila siku wanakunywa chai, na maziwa, na mkate na sausage.)
Mpasi na ngai eleki mabe, yango na effacé basouvenir nioso ya mabe na bongo na ngai,
(maumivu yangu ni makali, kwahiyo natoa mawazo yote mabaya moyoni mwangu)
mémoire na ngai eyebi kaka nkombo ya Amida Shatoue
(kumbukumbu zangu zikumbuke jina la Amida Shatoue!)
Naye nde pèlerinage epai na yo. Petola ngai! Sukola ngai! salisa ngai nabika!
(nimefanya hija kwako. nitakase , nisafishe! niuguze nipone!)
Nalinga mindele mpe bayindo, mikuse mpe milai, nalinga mike mpe minene
(napenda weupe na weusi, wafupi na walefu, nimependa wembamba na wanene.)
Kasi chancelier wapi ? alatisa ngai palata ata ya bronze na ntolo, soit disant ngai c'est l'amoureux, ancien de Sayeau, asala kala, roi de guère, oyo mosala mpunda
(lakini chancellor yuko wapi? atakayenivisha medali walau ya fedha kifuani mwangu,kama tunu ya kuhitimu mapenzi,kama kibibi cha Sayeau , bingwa wa vita, yote hii ni shukrani ya punda)
Tonton Fila, simba motema, bina malembe !
(Tonton Fila inua kifuat, cheza taratibu)
Yo lamulu eeeeeeiih! eeeeiiih, eeeeeeeeh
lamulu eh, L'amour ozali Kaina, oponaka moana mokolo to koko te, mondele, moyindo to nundu te, Mozui, mobola to riche te
(yoo mapenzi weweeeeeeee, mapenzi upo kama kimbunga,huchagui mkubwa au mdogo, mweupe, mweusi au mlemavu, mwema,mbaya, masikini au tajiri)
L'amour ozali masanga mbila olangwisi ngai na vino ya kolangwa, tango wana Nzambe ya mpungu , ata balobi ekomi trop tard, otamboli bongo
(mapenzi ni kama pombe ya mnazi umenilewesha, hata iweje, dear lord, hata nikiambiwa usiende ni usiku sana mimi nitaenda tu (I ignore)
L'amour ozali Kaina, oboma mingi, okotisa mingi na nse ya mabele, moyen ya kotanga bankombo na bango nioso, Ikelevee ! nakokoka te, nakolala te mpo na mawa, Mai ya miso ekotanga ngai, nakolala te
(mapenzi upo kama kimbunga,umeua wengi, wengi umewazamisha ardhini, siwezi hata kutaja majina yao, sitaweza, stataweza kulala juu ya mawazo, machozi yatanitoka, sitalala.)
Bolingo ezanga diplôme,ezanga palata. Miso nde elulaka,etindi monoko eloba, kasi nzoto nde ememaka ngambo
(mapenzi hayana diploma, wala medali.. macho ndio huona,mdomo ndio unaongea,lakini baadae mwili ndio unabebeshwa mzigo wa mapenzi)
Kolinga, kolinga nsuka wapi, Ephraim Makengo, nsuka wapi ? Babanda yango batika yango, Jean Ngandu, nsuka wapi? Oluka lokumu to mpe nini, Lydie Ebonja, nsuka wapi? Basusu kutu basonga nsima, Sammy Mikobi, nsuka wapi? Mingi kutu basenga la paix,nsuka wapi ? Boluka lokumu to mpe nini, nsuka wapi?
Omba se nabiso oooh!
(kupenda kupanda mwisho wake nini?........Ephraim Makengo......mwisho nini? wanayaaza wenyewe wanayaacha wenyewe...Jean Ngandu, mwisho nini? unatafuta umaarufu au nini? Lydie Ebonja...... mwisho nini? baadhi wanamiliki penzi baadaye wanalipoteza ...... mwisho nini? wengi wanauliza swali hili......mwisho nini? unatafuta heshima au nini? Mama aah......mwisho nini?
usiombe yakukute?)
HAPA ANAWARUSHA MAPEDEJEE
Oooh ya mado yaya na Dayida, ya Mitchelle, Milcah Kabuya, ya Sesese Petose, Jojo Fula Mambo eeh, papa leki Mbayu..... Nous devons respecter le guardien vecu, Le Grand Jean Legi, Patrice Ligale, Medo Mado, Jean Mayonga, le somoir Andre Kinguta, Heheheheeee! Van devoire monsuer de congolais Mabanga pamba pamba Daddy Kungo ooooh!
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko

Blogger Comment
Facebook Comment