Dawa Ya Afya Ya Sehemu Nyeti Za Mwanamke
Dawa ya Madura ni dawa ya kusaidia afya ya sehemu nyeti za mwanamke. Ni dawa inayosaidia kuondoa matatizo mengi yanayohusiana na sehemu nyeti za mwanamke ikiwa ni pamoja na tatizo la kuwa na uchi uliolegea au kuwa na uchi mpana hali inayotokana na uzazi. Dawa hii hutengenezwa kutokana na majani yanayopatikana kwenye misitu ya visiwa vya Madura, Indonesia.
Dawa hii imekuwa ikitengenezwa kwa siri na akina mama wa visiwa hivyo na imekuwa ikitumika kwa karne nyingi na akina mama wa visiwa hivyo ili kuboresha maungo yao ya siri hivyo kuwabana wenzi wao wabaki njia kuu ( kuzuia michepuko ). Dawa hii hutumika kwa kuwekwa sehemu nyeti, hainywewi.
Dawa ya Madura imetengenezwa kwa kutumika kwa muda mrefu, unaweza kuitumia kwa miaka kadhaa kulingana na matunzo yako mwenyewe. Baada ya matumizi husafishwa na kuhifadhiwa hadi utakapopenda kuitumia tena.
Matumizi ya mfululizo kwa mpango mzuri , mara 3 au mara 4 kwa siku kwa kipindi cha miezi 3-6, hurudisha misuli ya sehemu nyeti za mwanamke iliyolegea baada ya tendo la uzazi na kumfanya arejee kwenye hali yake ya zamani (ukigoli).
Faida Za Kutumia Dawa Ya Madura
Kuleta joto la kipekee kwenye sehemu nyeti
Huondoa uchafu mweupe sehemu za siri
Huondoa harufu mbaya ya sehemu za siri
Huondoa miwasho ya sehemu za siri
Huondoa maji ya ziada na kufanya sehemu hizo kuwa kavu na zinazobana
Huongeza raha kwa kiwango kikubwa wakati wa tendo.
Matumizi
Wasiliana nasi upate maelezo sahihi ya matumizi ya dawa hii.
Tahadhari
Dawa hii haifai kutumiwa na wanawake wenye ujauzito kwani hubana misuli ya sehemu za siri hivyo kuweza kusababisha matatizo wakati wa uzazi!
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment