Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Mh.
Freeman Mbowe, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja
wa Mpira wa Machame, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro Septemba 26, 2015.
Mwenyekiti
Mwenza wa UKAWA kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia
akiwahutubia wananchi wa Mji wa Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni,
uliofanyika kwenye uwanja wa Half London, Jimbo la Hai, Mkoani
Kilimanjaro jana Septemba 26, 2015.
Waziri
Mkuu wa zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro jana Septemba 26, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Bomang'ombe, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa
Half London, Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro jana Septemba 26, 2015.
Mpekuzi blog
Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Blogger Comment
Facebook Comment