LA LIGA: BARCA YANYUKWA


BARCA-YANYUKWAEstadio Municipal de Balaidos huko Jijini Vigo, umekuwa Uwanja mchungu kwa Mabingwa wa Spain Barcelona walipofungwa Bao 4-1 na Celta Vigo katika Mechi ya La Liga. Celta Vigo waliongoza 3-0 kwa Bao za Nolito na mbili za Aspas na Barca kufunga Bao moja kupitia Neymar lakini Celta Vigo wakapiga Bao la 4 kupitia John Guidetti.
Hiki ni kipigo cha kwa kwanza kwa Barcelona Msimu huu mpya wa La Liga na ikiwa Mahasimu wao wakubwa Real Madrid watashinda Mechi yao na Athletic Bilbao basi watachukua uongozi
.
VIKOSI:
Celta Vigo: Sergio; Hugo Mallo, Sergi Gómez, Cabral, Jonny; Augusto, Radoja, Wass, Orellana, Iago Aspas, Nolito
Akiba: Nestor, Fontas, Bongonda, Pablo Hernandez, Guidetti, Mandinda, Planas
Barcelona: Ter Stegen; Alves, Piqué, Mascherano, Mathieu; Busquets, S. Roberto, Iniesta; Messi, Suárez, Neymar
Akiba: Masip, Douglas, Rakitic, Bartra, Munir, Adriano, Gumbau
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Jumanne Septemba 22
Atletico de Madrid 2 Getafe CF 0
RCD Espanyol 1 Valencia C.F 0    
Granada CF 0 Real Sociedad 3    
Jumatano Septemba 23         
Celta de Vigo 4 FC Barcelona 1    
Rayo Vallecano 2 Sporting Gijon 1        
Levante 2 SD Eibar 2        
2200  Athletic de Bilbao v Real Madrid CF       
2300  Malaga CF v Villarreal CF  
2300  Las Palmas v Sevilla FC     
Alhamisi Septemba 24         
2305  Real Betis v Deportivo La Coruna
Ijumaa Septemba 25
2130  Valencia C.F v Granada CF

Chagua kiongozi bora ili kuleta mabadiliko
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment