Katika uchaguzi huo wa kura za maoni za Ubunge Nape Nnauye aliibuka kidedea baada ya kupata kura 9,344 dhidi ya mpinzani wake Selemani Mathew aliyepata kura 4,766.
Kufuatia ushindi huo baadhi ya wananchi pamoja na Mathew wamepinga vikali matokeo hayo huku wakimtaka mgombea huyo kuhamia upinzani suala ambalo limetimia hii leo.
Licha ya matokeo kuonesha ushindi wa Kishindo kwa Katibu wa Itikadi CCM Bw. Nape wananchi hao wana amini kuwa Bw. Seleman ndiye aliyeshinda
0 comments:
Post a Comment