
Mkurugenzi
wa Bodi ya ligi Boniface Wambura (Kulia) akizungumza na waandishi wa
Habari hawapo pichani kuhusu ratiba ya ligi k
uu ya vodacom inayotarajiwa
kuanza hivi karibuni kushoto ni Msemaji wa TFF Baraka kiziguto.Ndanda Vs Mgambo Shooting (Nang’wanda – Mtwara), African Sports Vs Simba SC (Mkwakwani – Tanga), Majimaji Vs JKT Ruvu (Majimaji – Songea), Azam FC Vs Tanzania (Azam Complex – Dsm), Stand United Vs Mtibwa Sugar (Kambarage – Shinyanga), Toto Africans Vs Mwadui (CCM Kirumba – Mwanza), na siku ya jumapili Young Africans Vs Coastal Union (Taifa – Dar es salaam).
0 comments:
Post a Comment