Chama cha Mapinduzi CCM chapata kigugumizi kuhusu Mh.Lowassa


Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Dar es Salaam kimejikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuelezea baada ya kumpoteza moja ya makada wa chama hicho aliyejiunga na Chadema.

Wengi walikuwa wakisubiri kusikia kauli ya chama cha mapinduzi baada ya Bw Edward Lowasa kukikacha chama hicho kwa kukiri kuwa mabadiliko yako upinzania kwa kuhamia Chadema, mbele ya waandishi wa habari katibu wa itikadi na uenezi wa mkoa wa Dar es Salaam Simba Juma Gadafi kwa maneno machache kabisa alizungumza.
 
Miongoni mwa maswali ya msingi aliyotakiwa kujibu ni je, anauwezo wa kuzungumzia sakata la kuhama kwa Bw Edward Lowasa, huku akiwa na jaziba alizungumza.
 
Wakati habari za ndani ya Ukawa zikidai kuwa huenda zaidi ya wabunge 50 watajiunga muda wowote kuanzia sasa, katibu huyo wa uenezi anasema bado wako imara.
 
Ni dhahili kwa sasa uchaguzi wa mwezi Oktoba utakuwa ni tofauti na chaguzi zilizopita kwani imekwisha kuanza kujihakikishia ushindi.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: