
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya
leo June 10, 2015 baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta
wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi
mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho. Picha zote na John Badi.

Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya
CCM Mkoa wa Mbeya leo June 10, 2015, baada ya kuwasili mkoani humo kwa
ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la
Mtama, Bernard Membe (katikati) akizungumza na wanachama wa Chama Cha
Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM
Mkoa wa Mbeya leo Juni 10, 2015, baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili
ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake za kuwania urais
katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Article Source: Father Kidevu
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment