Serikali yatakiwa Kudhibiti Matumizi ya Makalio na Matiti Bandia

Serikali imetakiwa kuthibiti matumizi ya makalio na matiti bandia ili kuepusha hatari ya kuongezeka kwa magonjwa ya saratani kwa wanawake.Akizungumza mjini Dodoma mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mara Esther Bulaya wakati akiomba mwongozo wa spika wa Bunge juu ya kuipa uzito sawa na matumizi ya vipodozi bandia suala hilo kwa kuzingatia athari zitokanazo na matumizi ya vipodozi hivyo.Aidha Bulaya ameongeza kuwa licha ya serikali kutilia mkazo suala la matumizi ya vipodozi bandia kwa wanawake lakini piainapaswa kulipa uzito suala la matumizi ya makalio na matiti bandia kutokana na urembo huo kuwa chanzo cha ongezekola magonjwa ya saratani na kubanduka kwa ngozi hasa kwa wanawake.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: