Kanye West na Kim Kardashian watarajia kuongeza familia

Wanamuziki na wana ndoa Kim Kardashian na mume wake Kanye West, baada ya kuhangaika kwa kipindi kirefu kutafuta mtoto mwingine hatimaye Kim adhihirisha kuwa ni mjamzito na kuonesha furaha kwa jambo hilo.Akihojiwa kupitia real show ya Keeping Up With The Kardashians, amesema kuwa baada ya kuchukuliwa vipimo wameweza kubaini kuwa ni mjamzito hivyo muda ukifika familia hiyo inategemea kupata mtoto wa pili.Hatua hiyo inawezekana ikamuongezea furaha mwanamuzii Kim, kutokana na kufanya majaribio ya mara kwa mara ya kushika ujauzito na kushindikana jambo ambalo lilionesha kumkosesha amani baada ya kupata mtoto wao wa kwanza wa kike North West, Juni 15, 2013.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: