Wananchi wa wilaya ya Ludewa wamekiri misemo ya vijana wa wilaya hiyo ya Ludewa tuitakayokutokana na mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe kufanikisha kuubadirisha mji waLudewa kwa kipindi cha mika mitano ya uongozi wake kama mbungewilaya ya Ludewa ni moja ya wilaya zilizosahaulika kwa kipindi cha miaka mingi lakini kupitia Filikunjombe wilaya hiyo imekuwa na maendeleo ya haraka tofauti na miaka minginekwani mtu yeyote aliyewahi kuishi katika wilaya hiyo miaka mitano iliyopita akifika sasa ataona mabadiriko makubwa yaliyojitokeza kwa muda mchache.Hata hivyo Filikunjombe amekuwa akipokewa na mabango yenye jumbe balimbalizinazoonesha kumuunga mkonokatika juhudi zake za kimaendeleo zikiambatana na kumchangia fedha kwaajili ya kuchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa awamu nyingine tena.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment