MKE NA MUME JELA MIAKA 20 KWA KUKUTWA NA DAWA ZA KULEVYA HUKO DODOMA

Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma imewahukumu mume na mke kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroin. Watuhumiwa hao niHalidnaMarium Mwanzalimawakazi wa eneo la Hazina Wilani humo. Watuhumiwa hao walitenda kosa hilo Juni mwaka jana eneo la Hazina kinyume cha sheria. Kabla ya kutolewa hukumu watuhumiwa hao walipewa muda wa kujitetea ndipo mume akaomba mahakama impunguzie adhabu kwa kuwa yeye ni mlemavu wa miguu hivyo hawezi kufanya kazi nzito.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: