Breaking News!! WATU ZAIDI YA 18 WAFARIKI KWA AJALI YA HIACE KUTUMBUKIA MTONI HUKO MBEYA ASUBUHI HII

Habari kutoka mkoani Mbeya zinasema kuwa watu zaidi ya 18 wamefariki dunia papo hapo baada ya Hiace waliyokuwa wanasafiri nayo kupata ajali katika  eneo la uwanja wa ndege Kiwira wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya.
Gari hiyo imetumbukia katika mto wa Kiwira,wilayani Rungwe mkoani Mbeya.

Mpaka sasa Miili ya watu 22 imefanikiwa kutolewa kwani Hiace ilitumbukia mtoni ambapo miili mingine imenaswa na juhudi za kuitoa inafanyika.Katika jali hiyo inasemekana watu wawili tu ndiyo wamepona akiwemo kondakta.


endelea kufuatilia kwa habari zaidi.........
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: