WATU wanne wam,ejeruhiwa vibaya na mwanahabari mmoja kufariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka wilayani Ludewa mkoani Njombe kuelekea Njombe mjini kuligonga lori ubavuni.
Ajali hiyo imetokea jana majira ya usiku katika barabara kuu ya Ruvuma - Njombe eneo la Mjimwema nje kidogo na mji wa Njombe.
Imeelezwa kuwa gari hilo ambalo lilisababisha kifo cha mwanahabari Haule ni mali ya kampuni ya gazeti la Daraja la mkoa wa Njombe na Iringa .
Mwili wa marehemu huyo unataraji kusafirishwa leo kuelekea wilayani Ludewa
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
1 comments:
Rest in peace
Post a Comment