VITUKO UWANJA WA TAIFA..KOCHA WA yANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZI

Hans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni. Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tu Baada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa kuonesha mchezo mzuri huku zaidi akiwapongeza mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa taifa kwa kuwaunga mkono. Boniface Mkwasa akitoa mkono kwa mashaka mara baada ya mkuu wake kushindwa kutoa kabisa Kwa matokeo hayo simba imefikisha pointi 26 na imekalia nafasi ya tat
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: