ALICHOKISEMA DEO FILIKUNJOMBE MBUNGE WA LUDEWA KUFUATIA KIPIGO CHA YANGA

Deo Filikunjombe "Ukweli ni kwamba ile jana Mashabiki wengi wa Simba walikuja uwanjani si kuangalia mpira ila walikuja kufanya mapinduzi ya uongozi wa timu yao ya Simba. Kwa kuwa Yanga ni watu wastaarabu sana; Na ili kuleta amani kwenu watani Simba; Tukawaachia hilo moja kama tulivyokubaliana na uongozi wenu kwa masharti tuliyowapa. Nyie wengine hamjui tu, Yanga tupo poa sana," -
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: