Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametembela katika hospitlai ya mkoa wa Mbeya kuwafariji askari wa kutuliza ghasia waliopata ajali Februari 28, 2015 wakati wakimsindikiza katika msafara wake katikati Mbeya na Chunya.
Kwa upande wa Mganga Mfawidhi wa hospitali ya Mbeya Dkt Ismail Macha alisema amepokea majeruhi tisa lakini watatu waliruhusiwa na wengine sita wamelazwa kwa uchunguzi zaidi.
Waliolazwa ni Deogratius Nandi, Palina Masolwa, Omry Hussein na Hamisi Haji ambao ni wananume.
Majeruhi wa kike ni Cecilia Mussa Kibona, Mwazanije Hassan. Walioruhusiwa ni Mashaka Shabani, Khalifa Rashidi pamoja na Joel Cheja.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment