Kufuatia kutolewa nje kwenye michuano ya kimataifa baada ya kichapo cha mabao 3-0 kwenye mechi ya marudiano dhidi ya klabu ya Sudan El Merreikh, timu ya Azam imemtimua kazi kocha wake mkuu Joseph Omog. Azam wametolewa kwenye michuano hiyo baada ya kupata ushindi mnono kwenye mechi ya awali iliyofanyika Dar es Salaam
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment