jot azid kupendeza

P-Square wanaweza kumtafuta Joti siku yoyote kuanzia mwaka huu. Hiyo ni baada ya mmoja wa mapacha hao maarufu zaidi Afrika, Paul Okoye kupost kipande kifupi cha Joti akicheza wimbo wa Koffie Olomide kwa style iliyomvutia. Paul ameipata video hiyo kutoka kwenye akaunti ya Instagram iitwayo ‘Nigeriagirlskillingit’. “Hahahahahaha i can’t wait for psquare to start dancing like this,”ameandika Paul na kuambatisha na emoji zinazocheka hadi machozi. Kwa utani utani hivyo Joti anaweza kuwa amejipatia mashabiki wapya kutoka Nigeria.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: