MWAMUZI AMNG'ANG'ANIA IVO KUTOA BANGO

Mwamuzi Martin Saanya amemlazimisha kipa Ivo Mapunda kuondoa taulo lake langoni. Safari hii limeandikishwa maandishi ya "Jesus Helm Me", yaani Yesu Nisaidie." Ivo alilazimisha lakini Saanya ambaye ni askari magereza alimueleza angempa kadi. Hivyo akaitandika taulo hiyo nje ya lango.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: