FILIKUNJOMBE AWAFUNDA WAJASILIAMALI WILAYANI LUDEWA

Mbunge wa jimbo la Ludewa kupitia chama cha mapinduzi(CCM) Mh.Deo Filikunjombe ametoa ufadhiri wa kuitafuta kampuni ya mafunzo ya ujasiliamali iitwayo decision Foundation ambayo imetoa mafunzo ya ujasiliamali kwa wajasiliamali wapatao 15 ili kuwapatia ujuzi wa kibiashara utakaoendana na soko la kibiashara katika migodi ya madini ya Chuma na Liganga inayotarajia kuanzishwa wilayani hapa. Akifunga mafunzo hayo Filikunjombe aliwataka wajasiliamali hao kuchangamkia Fulsa za biashara ambazo zinatarajia kupatika hivi karibuni.
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: