EBU CHEKA KIDOGO UFANYE SIKUYAKO IWE

POWA@@@@@ Hawa mademu bana boy:niaje mtoto mzuri? demu:(kwa sauti ya chin):poa boy:za wapi? demu:(kimya) ... boy:dada jamani tusalimiane,salamu haitii mimba demu(kamuangalia toka juu hadi chini kwa dharau) boy:haya bana,ila dada hapa nilipo nauza maharage demu:kale mwenyewe boy:inaonekana dada unapenda sana maharage demu:hili vipi? umeambiwa hizo ndo swagga za kutongozea? jinga nn! boy:sasa nisiseme ukweli? umekula maharage na bado yamekuganda kwenye meno yaani hujapiga mswaki afu unajifanya mbabe,mm nimekuja kukwambia ukweli ww unasema nakutongoza,mm nikutongoze ww kichwa kubwa ka siafu,kapige mswaki huko fala ww boy mwingine:waambie hao mwanangu washajiona almasi kumbe kokoto za kugonga na kurusha kule. Tena ana na mchuzi wa maharage umemdondokea hapo kwenye kanguo kake, demu:(kwa aibu,kapanda boda boda) boda boda:kwani dada hawa jamaa wamekufanya nn? demu:nipeleke haraka nakoenda boda boda:wamekupa ukweli wako fala ww,na uwe unapiga mswaki ukila maharage kenge ww hawa mademu wakisalimiwa tu,wanahisi kutongozwa lazima mbadilike haraka sana anza na like. tupia neno,twende kaaz
Share on Google Plus

About Rafiki Fm Ludewa

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: