Vurugu kubwa zatokea mkoani Iringa maeneo ya Ilula polisi wapiga Raia yadaiwa mama mmoja hadisasa amelala chini kwa kipigo kunahali ya sito fahamu miongoni mwa watu wa maeneo hayo kama mama huyo amefariki au laa hadi sasa wananchi wanasubiri uthibitisho kutoka kwa wataalamu wa afya.
Ahsante kwa kutufuatilia kwa karibu tutilia tutazidi kukujuza juu ya tukio hili
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment